msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Inamaana walikua hawajui kuwa wajumbe sio watu wazuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha Steve Nyerere anaijua nguvu ya wajumbe.Hahahahaaaa, wajumbe sio watu wazuri!
CCM na uongozi wake wa wajuu watatakiwa wawe makini na maaumizi ya jina la mwisho la atakaye pitishwa kugombea. Watafute maoni ya wananchi wa eneo husika kutumia njia au vyanzo mbadala. Nasema hivi kwa sababu yako maeneo ambayo maamuzi ya wajumbe wao haya akisi maoni ya wananchi ambalo ndio wapiga kura wengi. Wawe makini hasa.
Kosa lilifanyika pale mabalozi walipoongezwa kama wajumbe wa hiki kikao cha kura za maoni. Wengi wa watu hawa wanatumia matumbo yao badala ya akili kufanya maamuzi.
🙂 🙂 🙂 Malofa wapumbavu hao...Takribani madiwani 20 wa chadema waliojiunga ccm kuunga juhudi za Rais Magufuli wameangukia pua kwenye kura za maoni huku eti wakidai wamehujumiwa na wajumbe.
Hatua hiyo imedhihirisha wazi kwamba wenye ccm yao wapo na sio wahamiaji kama walivyopigwa mweleka kwenye kura za maoni na wengi wao wakiambulia kura moja na sifuri.
CCM na uongozi wake wa wajuu watatakiwa wawe makini na maaumizi ya jina la mwisho la atakaye pitishwa kugombea. Watafute maoni ya wananchi wa eneo husika kutumia njia au vyanzo mbadala. Nasema hivi kwa sababu yako maeneo ambayo maamuzi ya wajumbe wao haya akisi maoni ya wananchi ambalo ndio wapiga kura wengi. Wawe makini hasa.
Kama watafuata maoni kama haya basi wanakwenda kujifelisha wenyewe kwa sababu wajumbe wanaopiga kura ni wakaazi wa maeneo husika, ni vipi chama kirudi tena kuwahoji wananchi? Demokrasia imeongea usipoikubali subiri sanduku la kura.
Hatuwahitaji kabisa hapa Lumumba. Waende kulima katavi hukooWaende wakafanye issue nyingine kama hawana waende Lumumba hawatakosa kazi hata za kusafisha choo.
Ha ha ha.. huyu Ni muunga juhudi au ni mjumbe ananyonya ugali kwa mrija?!