Uchaguzi 2020 Madiwani wa CHADEMA waliohamia CCM ,wapukutishwa Arusha

Uchaguzi 2020 Madiwani wa CHADEMA waliohamia CCM ,wapukutishwa Arusha

Wajumbe kama wajumbe😃😃😃

Takribani madiwani 20 wa chadema waliojiunga ccm kuunga juhudi za Rais Magufuli wameangukia pua kwenye kura za maoni huku eti wakidai wamehujumiwa na wajumbe.

Hatua hiyo imedhihirisha wazi kwamba wenye ccm yao wapo na sio wahamiaji kama walivyopigwa mweleka kwenye kura za maoni na wengi wao wakiambulia kura moja na sifuri.
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom