Uchaguzi 2020 Madiwani wa CHADEMA waliohamia CCM ,wapukutishwa Arusha

Yaani tukutongoze uingie king, tukununue kama tikiti halafu tuje tukupe fursa ya kutuongoza.
By the way wao walikwenda CCM kufuata madaraka au KUUNGA MKONO JUHUDI?
 
HONGERA SANA WAJUMBE, WAFUNDISHENI ADABU ,wajue kuwa USALITI ni mbaya πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€©πŸ€©πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wajumbe nwamefanya KAZI NJEMA
 

Kwani ccm inategemea kushinda kwa kura, au ni maagizo tu rais mgombea wao anatangazwa?
 
Kosa lilifanyika pale mabalozi walipoongezwa kama wajumbe wa hiki kikao cha kura za maoni. Wengi wa watu hawa wanatumia matumbo yao badala ya akili kufanya maamuzi.

Ni nani ambaye hatumii tumbo huko ccm kufanya maamuzi? Kama ccm wangekuwa wanafanya maamuzi kwa kutumia ubongo, Magufuli asingeweza kupata kura 100%. Hakuna mahali popote watu wanafanya maamuzi kwa kutumia ubongo, mgombea akapata kura 100%.
 
Asante kwa habari nzuri kabisa kwa wapinzani hasa CDM, manake wasaliti hawatakiwi kabisa.
 
πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ Malofa wapumbavu hao...
 
Kama watafuata maoni kama haya basi wanakwenda kujifelisha wenyewe kwa sababu wajumbe wanaopiga kura ni wakaazi wa maeneo husika, ni vipi chama kirudi tena kuwahoji wananchi? Demokrasia imeongea usipoikubali subiri sanduku la kura.
 
Hakuna anaesikitisha kama yule aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha Calisti Lazaro. Aibu tupu.
 
Kama watafuata maoni kama haya basi wanakwenda kujifelisha wenyewe kwa sababu wajumbe wanaopiga kura ni wakaazi wa maeneo husika, ni vipi chama kirudi tena kuwahoji wananchi? Demokrasia imeongea usipoikubali subiri sanduku la kura.

Kama hujuma zenu mlizifunika kwa nguo ya kura ya maoni wananchi tumewastukia, chama kichukue tahadhari kubwa. Vinginevyo kitajikuta wagombea wengi ni mamluki wa watu wanaolenga urais wa awamu ya sita.
 
Ha ha waunga juhudi wote vilio kila kona ya Tanzania.Inauma tu pale unaunga juhudi huku una kinyongo cha kukatwa dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…