Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Wajumbe sio watu wazuri.Takribani madiwani 20 wa chadema waliojiunga ccm kuunga juhudi za Rais Magufuli wameangukia pua kwenye kura za maoni huku eti wakidai wamehujumiwa na wajumbe.
Hatua hiyo imedhihirisha wazi kwamba wenye ccm yao wapo na sio wahamiaji kama walivyopigwa mweleka kwenye kura za maoni na wengi wao wakiambulia kura moja na sifuri.
Maaama yanguuu aliniambiyaaa utavuna ulichopandaaaa pararaaa papaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Takribani madiwani 20 wa chadema waliojiunga ccm kuunga juhudi za Rais Magufuli wameangukia pua kwenye kura za maoni huku eti wakidai wamehujumiwa na wajumbe.
Hatua hiyo imedhihirisha wazi kwamba wenye ccm yao wapo na sio wahamiaji kama walivyopigwa mweleka kwenye kura za maoni na wengi wao wakiambulia kura moja na sifuri.
Poa tu,ni heri ccm kuliko hawa wasaliti kushinda,kupigwa chini kwa wasaliti inapungua ari ya kuhama na kusaliti vyama vyaoHili si lakucheka sana huo bado ni ushindi kwa ccm kwasababu majimbo hayo tunaweza kusema tayari yapo mikonini mwa ccm
Wajumbe wako sahihi .Takribani madiwani 20 wa chadema waliojiunga ccm kuunga juhudi za Rais Magufuli wameangukia pua kwenye kura za maoni huku eti wakidai wamehujumiwa na wajumbe.
Hatua hiyo imedhihirisha wazi kwamba wenye ccm yao wapo na sio wahamiaji kama walivyopigwa mweleka kwenye kura za maoni na wengi wao wakiambulia kura moja na sifuri.
Yule Nyerere wa misiba akiona sura sampuli hii anaanza kuweweseka!!Wajumbe Nyoko sanaView attachment 1517278View attachment 1517279
Sio wanachama hao ni wasaka madaraka.Waende wakafanye issue nyingine kama hawana waende Lumumba hawatakosa kazi hata za kusafisha choo.
Ndiyo matunda ya wanasiasa uchwara hununuliwa kirahisi nakuuzwa pia 'cheap politicians are easily bought and sold'Takribani madiwani 20 wa chadema waliojiunga ccm kuunga juhudi za Rais Magufuli wameangukia pua kwenye kura za maoni huku eti wakidai wamehujumiwa na wajumbe.
Hatua hiyo imedhihirisha wazi kwamba wenye ccm yao wapo na sio wahamiaji kama walivyopigwa mweleka kwenye kura za maoni na wengi wao wakiambulia kura moja na sifuri.
Kama watafuata maoni kama haya basi wanakwenda kujifelisha wenyewe kwa sababu wajumbe wanaopiga kura ni wakaazi wa maeneo husika, ni vipi chama kirudi tena kuwahoji wananchi? Demokrasia imeongea usipoikubali subiri sanduku la kura.
Tamaaaaa ni mbaya !!Hakuna anaesikitisha kama yule aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha Calisti Lazaro. Aibu tupu.
Sasa kipi Bora?Hili si lakucheka sana huo bado ni ushindi kwa ccm kwasababu majimbo hayo tunaweza kusema tayari yapo mikonini mwa ccm
Kuna mawili,wapo waliotumia rushwa kupita na ambao hawajatumia,sasa wanapomchukua aliyepata ziro kama rushwa haikutumika ina maana hapendwi,heri rushwa kuzibitiwa kuliko kuwapitisha waliopata zeroWAJUMBE SIYO WATU,NI NYOKA WA NDIMI TATU.Nashauri kwa Ngazi za maamuzi ziteue Mjumbe miongoni mwa waliopata sifuri ndo jina lirudi ili iwe fundisho kwa wimbi la WATOA RUSHWA na WALA RUSHWA WAO@wajumbe.Vinginevyo wenye pesa wataendelea na mchezo huu milele.
Vizuri sanaKessy wa Kata ya Kaloleni kapata kura 1
Sidhani kama ni hivyo. Tuseme hao Wapinzani waliounga juhudi au waliokatwa ndio awali walikua wakikubalika.Hili si lakucheka sana huo bado ni ushindi kwa ccm kwasababu majimbo hayo tunaweza kusema tayari yapo mikonini mwa ccm
Ujumbe huu umfikie aliekua Mbunge wa Momba Bw. David SilindeHapo ndipo ninapoiipa CCM heko
Heko kwa kututilia adabu hawa vitimba kwiri na vizabi zabina wa siasa.
Wakafie mbele hukoooo.
Malaya wakubwa wa siasa , wakitafuta sifa na mlo.
Sas tuwaone kama kweli wanamuunga mkono Magu ,wabakie benchi wampigie makofi mpaka 2025 wakiwa chini ya chama wakishiriki harakati mbali mbali za kuijenga CCM itakayokuwa mahututi baada ya Uchaguzi wa 2020.
Wakibaki hadi 2025 ndani ya CCM tutawaaminikweli wanaunga mkono JUHUDI za JIWE
Ukila vya watuu ukumbuke pia kwamba iko siku utaliwaaa kwa hiyoo wameliwa wao siwalikula vilivyo haramuTakribani madiwani 20 wa chadema waliojiunga ccm kuunga juhudi za Rais Magufuli wameangukia pua kwenye kura za maoni huku eti wakidai wamehujumiwa na wajumbe.
Hatua hiyo imedhihirisha wazi kwamba wenye ccm yao wapo na sio wahamiaji kama walivyopigwa mweleka kwenye kura za maoni na wengi wao wakiambulia kura moja na sifuri.