johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nikweli amewahi sanaMbona mapema sana kutoa hii kauli bwashee
Wewe ni mshabiki tu huwezi kuwa msukuma,ni mti gani wewe kwenye utawala huu wa kusifu unatowa kasoro? Kajifunze kwa Mwanakijiji,na KichuguuUkweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au mawakala wa wafanyabiashara.
Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote yamejaa kijani.
Tujiandae kusikia tozo na ushuru za kila dizaini kama alivyosema rip Komba pale bungeni kwamba CCM ni kokoro.
Walau madiwani wa upinzani walikuwa na uwezo wa kuchanganua mambo ila hawa kijani wako kusaka tenda zaidi.
Maendeleo hayana vyama
Narudia tena,
Maendeleo hayana vyama!
Hili liko wazi,Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara.
Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote yamejaa kijani.
Tujiandae kusikia tozo na ushuru za kila dizaini kama alivyosema rip Komba pale bungeni kwamba CCM ni kokoro.
Walau madiwani wa upinzani walikuwa na uwezo wa kuchanganua mambo ila hawa kijani wako kusaka tenda zaidi.
Maendeleo hayana vyama
Narudia tena,
Maendeleo hayana vyama!
Ukiona mtu mzima analiaMbona mapema sana kutoa hii kauli bwashee.
Babu yamekuwa hayo tena?Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara.
Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote yamejaa kijani.
Tujiandae kusikia tozo na ushuru za kila dizaini kama alivyosema rip Komba pale bungeni kwamba CCM ni kokoro.
Walau madiwani wa upinzani walikuwa na uwezo wa kuchanganua mambo ila hawa kijani wako kusaka tenda zaidi.
Maendeleo hayana vyama
Narudia tena,
Maendeleo hayana vyama!
Nakubaliana na wewe 100 asilimia. Watafuta tenda wako ccm nao huwa karibu sana na watoa tenda kama wakurugenzi nk. Wote hupeana mapande. " Nipe tenda nikupe chako, nipe changu nikupe tenda "Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara.