SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Na wewe laana ya kuwa hivi inawatesa sana wazazi wako.Laana ya Dr Slaa ni Kali na sasa hivi imeongezeka laana ya Sumaye tena.
Chadema kwisha kabisa
Na wewe laana ya kuwa hivi inawatesa sana wazazi wako.Laana ya Dr Slaa ni Kali na sasa hivi imeongezeka laana ya Sumaye tena.
Chadema kwisha kabisa
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za madiwani watano wa CHADEMA kujiuzulu katika jiji la Arusha
====
Pension hawapati maana hawakumaliza muda wao! Na huko waendako hawana chao!Hao ni wale wa VITI MAALUMU, wamejua uchaguzi ujao hawatapata maana CCM inachukua kwa nguvu so wameamua kuchukua fedha za kununuliwa kwao mapema, wakijumlisha na pensheni zao watakuwa wamelamba dume, hasara ni kwa CCM.
haiya sasa CHADEMA muanze kujiandaa kisaikolojia mapemaMkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za kujiuzulu za madiwani watano wa Chadema Jiji la Arusha.
Mbali na barua hizo za kujiuzulu, madiwani hao pia wamemuandikia barua katibu wa CCM Wilaya ya Arusha wakiomba kujiunga na chama hicho tawala nchini Tanzania.
Kutokana na kujiuzulu kwa madiwani hao, Jiji hilo sasa lina madiwani 28 ambapo 20 ni wa Chadema na CCM wanane.
Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, CCM ilipata diwani mmoja lakini hivi karibuni madiwani saba wa Chadema walijiuzulu na kujiunga na chama hicho tawala.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumamosi Novemba 30, 2019, Dk Madeni amesema Jiji tayari limeanzia mchakato wa kuzifikisha barua hizo katika ngazi nyingine.
"Ni kweli madiwani hawa wamejiuzulu na barua ninazo,” amesema.
Madiwani waliojiuzulu ni George Nditika (Baraa), Veronica Hosea, Glory Kaaya, na Jeni Severe (wote Viti Maalum) na Godfrey Soilel (Simon).
Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema alipoulizwa kuhusu madiwani hao amesema alikuwa na taarifa zao kuwa watajiuzulu.
Novemba 19, 2019, meya wa Chadema Jiji la Arusha, Kalist Lazaro alijiuzulu na kuhamia CCM.
pensheni wanapata maana wameenda huko kimkakatiPension hawapati maana hawakumaliza muda wao! Na huko waendako hawana chao!
Matumizi mabaya ya madaraka hayo! Huyu taahira kuna siku atakujalipia gharama!pensheni wanapata maana wameenda huko kimkakati
How mkuu ndio kwanza 20 kwa 8.Lengo ni jiji la Arusha ? kwa gharama ya bei hiyo si sawa !
We endelea kulalama huku kichaka kikizidi kupukutika
Hivi viti maalum si wanateuliwa wapya wa CDM.ungejua hela inayolipwa kwenye mambo haya ungemlilia mamaako huko kijijini .
Clip inayosambaa ya Kibajaji inayomuongelea Mwenyekiti Mbowe imekuwa ni mwiba, si kwa Mbowe tu, bali ni kwa Chadema nzima.Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za madiwani watano wa CHADEMA kujiuzulu katika jiji la Arusha
====
Mtu anayeweza kupoteza muda wake kumsikiliza Kibajaji na kuchukulia maneno yake kama reference ni mpumba.vu. Naamini wewe si mojawapo.Clip inayosambaa ya Kibajaji inayomuongelea Mwenyekiti Mbowe imekuwa ni mwiba, si kwa Mbowe tu, bali ni kwa Chadema nzima.
Maana amewafungua macho raia, viongozi na wanachama. Cdm kisipojitathimini kitabaki ni chama cha familia.
Mkuu kwenye kubadilishana mawazo kuna matusi tena?Mtu anayeweza kupoteza muda wake kumsikiliza Kibajaji na kuchukulia maneno yake kama reference ni mpumba.vu. Naamini wewe si mojawapo.