Rapid Chadema Erosion.
Subirini na zoezi la kumpata mwenyekiti wa CDM. Chadema itabaki na Mbowe,lissu na Lema. Ila walio wengi watarudi nyumbani.
Just imagine kupoteza Madiwani watano kwa mpigo harafu mtu Anajibu tu kirahisi nilikuwa na Taarifa Zao. Huu Ni uongo wa kiwango Cha SGR.
Kwanini usinge waripot ngazi husika wakavuliwa Uanachama kabla hawajajiuzuru?
Arusha inaenda kuwa Jiji la CCM na Pengo la mtu mhimu Kama kalisiti limeanza kuonekana Chadema Arusha.
Kwani hao wanaoenda huko CCM siyo Wananchi wao.Hao viongozi waende hata wote huko ccm na hakuna mtu anaweza kuwazuia watu kwenda kutafuta maisha, lakini wananchi msimamo wetu uko imara, hatuikubali ccm na ushahidi hata kwenye uchaguzi hatukujiandikisha kupiga kura.
Madhara ya kubadili gia angani yatazidi kuonekana, Lowasa alipendwa na pesa zake, leo CDM kinaendelea kubomokaKuna watu walipewa ubunge na ufiwani wa viti maalum kwa mapendekezo ya Lowasa. Haitegemewi, baada ya aliowateua kuondoka, wao wakaendelea kubakia. Kabla ya 2020, ni lazima wabunge wengine wa kuteuliwa, kama walimvyomfuata Lowasa alipotoka CCM kwenda CHADEMA, watamguata tena kwenda CCM.
Jambo la kujifunza ni kuwa lilifanyika kosa kubwa kumleta Lowasa toka CCM, mtu ambaye hakuwa mfuasi wa falsafa ya CHADEMA. Nina hakika, hata CHADEMA watakuwa wanalitambua kosa hili japo inakuwa ni vigumu kuja hadharani na kulikiri kosa hili.
Kwa uchaguzi ujao, kusiwepo na kuwachukua watu waliosubiri mpaka watupwe CCM ndiyo waende upinzani.
Kwani hao wanaoenda huko CCM siyo Wananchi wao.
Mkuu tuache kujifariji kiukweli hii issue inafanya hata wale wananchi wafuata upepo kuhamisha Mawazo Yao na kuiona Chadema kama Chama Cha Ajabu.
Elimu ya uraia waliyoitoa cdm kwa wananchi iliwaamsha wengi, angalia hata Slaa aliyeitoa hiyo elimu kashindwa kushawishi watu waikubali ccm. Ushahidi wa kuwa watu wameamka na hawawezi kurudi tena utumwani Misri, angalia idadi ndogo iliyojiandikisha kupiga kura. Ilibidi uchaguzi unajisiwe kuficha aibu. Yaani hao wanaovutika kwa hao walinda tumbo ni wachache sana. Ni sawa na wachezaji wa Yanga wahamie Simba, kisha utarajie na mashabiki watawafuata hao wachezaji kwenda kuwa washabiki wa simba.
Hizi kelele za mtandaoni tu dogo.
Ila watu uraiani wanaelewa kazi kubwa inayofanywa na CCM chini ya Mwenyekiti wake.
Mitandaoni? Ni kipi kilifanya watu wasusie kujiandikisha kupiga kura? Au nako kule ni kwenye mitandao? Je hao wanaomkubali hawawezi kuingia mitandaoni, au mmewakataza?
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za kujiuzulu za madiwani watano wa Chadema Jiji la Arusha.
Mbali na barua hizo za kujiuzulu, madiwani hao pia wamemuandikia barua katibu wa CCM Wilaya ya Arusha wakiomba kujiunga na chama hicho tawala nchini Tanzania.
Kutokana na kujiuzulu kwa madiwani hao, Jiji hilo sasa lina madiwani 28 ambapo 20 ni wa Chadema na CCM wanane.
Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, CCM ilipata diwani mmoja lakini hivi karibuni madiwani saba wa Chadema walijiuzulu na kujiunga na chama hicho tawala.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumamosi Novemba 30, 2019, Dk Madeni amesema Jiji tayari limeanzia mchakato wa kuzifikisha barua hizo katika ngazi nyingine.
"Ni kweli madiwani hawa wamejiuzulu na barua ninazo,” amesema.
Madiwani waliojiuzulu ni George Nditika (Baraa), Veronica Hosea, Glory Kaaya, na Jeni Severe (wote Viti Maalum) na Godfrey Soilel (Simon).
Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema alipoulizwa kuhusu madiwani hao amesema alikuwa na taarifa zao kuwa watajiuzulu.
Novemba 19, 2019, meya wa Chadema Jiji la Arusha, Kalist Lazaro alijiuzulu na kuhamia CCM.
Waende tu. Acha bahari iteme uchafu.Rapid Chadema Erosion.
Subirini na zoezi la kumpata mwenyekiti wa CDM. Chadema itabaki na Mbowe,lissu na Lema. Ila walio wengi watarudi nyumbani.
Just imagine kupoteza Madiwani watano kwa mpigo harafu mtu Anajibu tu kirahisi nilikuwa na Taarifa Zao. Huu Ni uongo wa kiwango Cha SGR.
Kwanini usinge waripot ngazi husika wakavuliwa Uanachama kabla hawajajiuzuru?
Arusha inaenda kuwa Jiji la CCM na Pengo la mtu mhimu Kama kalisiti limeanza kuonekana Chadema Arusha.
Elimu ya uraia waliyoitoa cdm kwa wananchi iliwaamsha wengi, angalia hata Slaa aliyeitoa hiyo elimu kashindwa kushawishi watu waikubali ccm. Ushahidi wa kuwa watu wameamka na hawawezi kurudi tena utumwani Misri, angalia idadi ndogo iliyojiandikisha kupiga kura. Ilibidi uchaguzi unajisiwe kuficha aibu. Yaani hao wanaovutika kwa hao walinda tumbo ni wachache sana. Ni sawa na wachezaji wa Yanga wahamie Simba, kisha utarajie na mashabiki watawafuata hao wachezaji kwenda kuwa washabiki wa simba.
Huu ununuzi wa wapinzani ndiyo umepelekea wananchi kuichukia CCM kwani CCM wanatumia pesa za walipa kodi kuudhofisha upinzani, wengi wamebakia kuangalia tu lakini moyoni hawataki kuisikia CCM kabsaMkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za kujiuzulu za madiwani watano wa Chadema Jiji la Arusha. Mbali na barua hizo za kujiuzulu, madiwani hao pia wamemuandikia barua katibu wa CCM Wilaya ya Arusha wakiomba kujiunga na chama hicho tawala nchini Tanzania.
Kutokana na kujiuzulu kwa madiwani hao, Jiji hilo sasa lina madiwani 28 ambapo 20 ni wa Chadema na CCM wanane. Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, CCM ilipata diwani mmoja lakini hivi karibuni madiwani saba wa Chadema walijiuzulu na kujiunga na chama hicho tawala. Akizungumza na Mwananchi leo Jumamosi Novemba 30, 2019, Dk Madeni amesema Jiji tayari limeanzia mchakato wa kuzifikisha barua hizo katika ngazi nyingine.
"Ni kweli madiwani hawa wamejiuzulu na barua ninazo,” amesema. Madiwani waliojiuzulu ni George Nditika (Baraa), Veronica Hosea, Glory Kaaya, na Jeni Severe (wote Viti Maalum) na Godfrey Soilel (Simon). Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema alipoulizwa kuhusu madiwani hao amesema alikuwa na taarifa zao kuwa watajiuzulu. Novemba 19, 2019, meya wa Chadema Jiji la Arusha, Kalist Lazaro alijiuzulu na kuhamia CCM
CCM wananunua wapinzani moyoni hawajuia walionunuliwa wanazipenda pesa za CCM tu siyo kuipenda CCM yenyewe.Waende tu. Acha bahari iteme uchafu.
Wanaelewa kuwa CCM imejenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, wanajua ununuzi wa Ndege una 10% za wajanja wachache ndiyo maana CAG akatolewa kafara mapema kabla hajawasilisha ukaguzi wake.Hizi kelele za mtandaoni tu dogo.
Ila watu uraiani wanaelewa kazi kubwa inayofanywa na CCM chini ya Mwenyekiti wake.