MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Wapo wenye upendo,tupo mchanganyiko.Na huo ndio uungwana, kama huna basi una muambia mtu huna au kama hujisikii haujibu tu hata PM yake kuliko watangaza na kuwabananga wengine wanashida kweli kweli na watu wana matatizo na shida mbali mbali. Sema watu hawana upendo humu
Yes, maisha kusaidiana pasipo kutangaza. Sasa hao hawawasaidii wenzao na wanakuja watangaza hapa. Nimechoka kabisaa hapaaa ππWapo wenye upendo,tupo mchanganyiko.
Mkuu hao vijana wanaoomba pesa huko pm wengi wanaenda kubetia na ni wanaomba watu zaidi ya mmoja. Mimi ni mhanga wa icho kitu ndio maana niliamua kufunga pm maana wengine ni watu wazima kabisa wana Familia. Usiulize nimejuaje, sio kila mtu ni anonymous humu wengine tunafahamiana nje ya huu mtandaoNa huo ndio uungwana, kama huna basi una muambia mtu huna au kama hujisikii haujibu tu hata PM yake kuliko watangaza na kuwabananga wengine wanashida kweli kweli na watu wana matatizo na shida mbali mbali. Sema watu hawana upendo humu
Wewe wamekuja kukuomba?Yes, maisha kusaidiana pasipo kutangaza. Sasa hao hawawasaidii wenzao na wanakuja watangaza hapa. Nimechoka kabisaa hapaaa ππ
Nakupata mkuu wangu!Mkuu hao vijana wanaoomba pesa huko pm wengi wanaenda kubetia na ni wanaomba watu zaidi ya mmoja. Mimi ni mhanga wa icho kitu ndio maana niliamua kufunga pm maana wengine ni watu wazima kabisa wana Familia. Usiulize nimejuaje, sio kila mtu ni anonymous humu wengine tunafahamiana nje ya huu mtandao
π Ukiona wanakufata PM ujue una kitu.. Mie sina kitu hata njia ya PM yangu hawaijui.. Unafikiri wenyewe hawajui nani wa kumuomba na yupi mwenzetuWewe wamekuja kukuomba?
Wanakuja tu.π Ukiona wanakufata PM ujue una kitu.. Mie sina kitu hata njia ya PM yangu hawaijui.. Unafikiri wenyewe hawajui nani wa kumuomba na yupi mwenzetu
Sijawai kuwaona, Jf ya matajiri wakiombwa wanaruka kimangaa ππWanakuja tu.
ππππππSijawai kuwaona, Jf ya matajiri wakiombwa wanaruka kimangaa ππ
Mie nachoka kabisaa
Au weye sio tajiri ππππππππ
Mkuu hamna kitu kinaboa kama mtu kukuomba buku buku kila siku.Sijawai kuwaona, Jf ya matajiri wakiombwa wanaruka kimangaa ππ
Mie nachoka kabisaa
Umenena vyema ila ukiona mpaka mtu kaja kuandika uzi humu ujue it's too much. Kuna mmoja humu nilijitolea hadi kumuunganisha kazi nikaingia gharama zaidi ya 200k ila alichokifanya baada ya apo anajua mwenyewe na Mungu wake na mpaka leo haokotagi simu zangu ila sijawah kupost popote. Huko pm tunatumiwa mpaka picha za uchi just from nowhere, why tusifunge pm?Nakupata mkuu wangu!
Sio lazima PM kuijibu, unaweza soma na ukiona haupo kwenye nafasi hujibu tu.
Mie haijalishi mtu anaomba mala ngapi na kwa namna gani. Bado sioni kama kuwabanga hapa ni solution. Jibu lao ni kuwanyamazia kimya wanapo kufata PM.
Pia hadi wanakufata PM wanaona unakitu mkuu.
Aaah waaapi! Sina hata senti.Au weye sio tajiri ππ
Picha za kiuchi za waomba hela ?Mkuu hamna kitu kinaboa kama mtu kukuomba buku buku kila siku.
Umenena vyema ila ukiona mpaka mtu kaja kuandika uzi humu ujue it's too much. Kuna mmoja humu nilijitolea hadi kumuunganisha kazi nikaingia gharama zaidi ya 200k ila alichokifanya baada ya apo anajua mwenyewe na Mungu wake na mpaka leo haokotagi simu zangu ila sijawah kupost chochote. Huko pm tunatumiwa mpaka picha za uchi just from nowhere, why tusifunge pm?
Ndio maneno yenu nyie , huku umeweka dollar kwenye mkoba. Unasema hivi ili nisije kuomba hela ππAaah waaapi! Sina hata senti.
Waomba hela na watuma picha/video ni tofauti kabisa.Picha za kiuchi za waomba hela ?
Aisee kumbe huko PM kuna mambo mazito namna hiyo.
Pole sana. Ila kwenye hizi social media ni kutumia busara sana ku deal na watu hasa ikija kuwapa network na misaada mikubwa, unaweza jiharibia, lazima ujihakikishie sana kabla ya kumpa wire au misaada mikubwa
Labda kuomba Duaπ€²Ndio maneno yenu nyie , huku umeweka dollar kwenye mkoba. Unasema hivi ili nisije kuomba hela ππ
π Dua ni muhimu sana, ukinipa dua yatoshaLabda kuomba Duaπ€²
Duh! Pole sana mkuu, sema utakuwa na kitu Mkuu. Bila hivyo wasingekuja, watu itakuwa wamepeana habari zako ndio maana waja kama kumbi kumbiWaomba hela na watuma picha/video ni tofauti kabisa.
ππNilijua ni mimi tu kumbe wengi tumekutana na kadhia hii.