Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

toka mwaka jana October nilipokata mguu JF, juzi tu nimerud, nimetumiwa pm ya kuombwa hela. Sasa mpaka najiuliza hivi hawa watu wanatumia njia gani kufanya vetting kwamba huyo nimuombe hela? Nikajiuliza au ji wadau ambao wanakufahamu ila wanakuja na id mpya?

No wew kama unauwezo wa kumsaidia msaidie na sio kutangaza kwamb umeombwa msaada hizo zinakua kam zile ambayo ikitongozwa inatangaza wew ulitakiwa umwambie huko na sio sis
 
Mkuu jf ni pagumu kujua nani mwanaume nani mwanamke. Ukijumlisha na wanawake wanavyopigwa madongo kuhusu kuombaomba sio rahisi akaja pm na id yake inayojulikana. Lakini mtaani ambapo uhalisia haujifichi tunaona wanaombaomba sana wanawake
Know this and know peace, it’s them Boys.

Mtaani hawana confidence ya kuomba hadharani, lakini bado wanaomba.

Japo kwangu mimi sio kitu cha ajabu sanaaaa; process ya kujipata walau inaanzia miaka 28 ukiwa umetokea pangu pakavu, hapa katikati lazima tuombane atakayejaliwa atoe .
 
Kuna utofauti lakini. Upande wa mabinti wamevuka hatua ya kuomba sasa wapo kwenye hatua ya kufikiri kupewa ni haki yao. Ni muda sijawahi kukutana na dogo wa kiume bar akaniomba nimnunulie bia lakini upande wa mabinti na wanawake watu wazima ni almost kila wikiend
 
Sawa wanakosea lakin hata wew umekosea na sio kila mtu anauwezo wa kukabiliana na matatizo yake mwenyew yeye kakuomba msaada akiwa na iman utamsaidia wew unakuja hum kutangaz na unasema akaombe msaada mtaani kwao je kam ameanzia hjko mtaan na wameshindwa kumsaidia wew kam ulikua hauna uwezo ama hutak kumsaidia ungemwambia na si kuja kutuambia sis wanajamvi
Msaada wa ku copy na ku paste massage kwa watu wengi
 
Mwanangu uliekuja DM kunipiga kinyundo nakuheshimu sana siwezi nikakutangaza ila siku ile ulinikuta vibaya ungenikuta vizuri ningekunjua roho tu kwani shingapi tunatoa Sadaka Msikitini Kanisani na hatuwazi zinaenda wapi yanini kumuwazia mtu anaekuomba msaada, ni sawa ukutane na mtu kwenye baskeli ya kukokota wheelchair akuombe umsukume apandishe mlima kisha usimsaidie na uanze kumtangaza, saidia inapowezekana haiwezekani acha na usitangaze sana

Ni sawa ukutane na meseji km hii halafu imetumwa kimakosa je! Utairudisha?

Umepokea Tsh10,000,000.00 kutoka kwa Wakala: BINTI XXXXXX. Salio Tsh10,938,000.00. Muamala No: CI260727.1732.N67768
 
Back
Top Bottom