DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,306
- 5,036
Cc: Lamomynitakuambia kule duniani..!
😹😹 ningekuwa nakuibukia hapo Ileje kila leo..!
Cc: Lamomynitakuambia kule duniani..!
😹😹 ningekuwa nakuibukia hapo Ileje kila leo..!
Huko ni balaa.wenyewe wanataka sadaka
Mimi concern yangu iko elsewhere. Hapa hatujuani wala hatutaki kutambulisha true identities zetu—tunakwenda kwa pseudonyms. Nia yako njema ya kusaidia mtu inaweza kugeuka kuwa liability. Unaweza kuishia kumtumia pesa jambazi wa fazafaka wa Kizimkazi ukawa umejisaliti mwenyewe kwa kubainisha true identity yako.Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa.
Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu hukohuko kwa majirani. Hata migahawani kuna uwezekano ukapata msaada wa chakula kuliko kutuma copy-paste kwa members
Bora hata uombe fursa, kazi au connection kuliko kuomba hela moja kwa moja. wanadhani kila mtu wa JF ni tajiri. Ukweli ni kwamba sisi ni akina nyie tu tupo hapa kutafuta madini, maarifa na habari.
Yaani ndani ya wiki moja nakuta meseji tatu tofauti zote zinaanza na Bro sikujui hunijui ila nina shida, nisaidie hela ya kula.
wako kaziniHuko ni balaa.
Sadaka yenyewe wanaitaka kwa nguvu na viwango.
Mambo ya 'tao ulichojaliwa' kwao ni msamiati uliopitwa na wakati 😅
Pole sanaBora ndege JOHN kaliweka hadharani maana ilishakua kero sasa Shadeeya
Halafu unashangaa mtu wala hamjuani wala huna mazowea nae japo ya salam
Hata Sijajua kwa wenzangu Ses mana kwangu yapita miaka kadhaa kwa Waziri Mkuu kuna komeo. Hivyo hizo kadhia sikumbani nazo.Hivi na nyie Ke hua yanawakuta ya vizinga kutoka kwa wasiojitambua?
Bora uongezee komeo kwa Waziri MkuuPole sana
Hata Sijajua kwa wenzangu Ses mana kwangu yapita miaka kadhaa kwa Waziri Mkuu kuna komeo. Hivyo hizo kadhia sikumbani nazo.
Nilikuwa najiuliza how comes mtu anaomba pesa kwa mtu asiyemfahamu? Au wanafanya random sampling? Sasa nimeelewa!!!!Sasa nyie wenyewe story zenu kila siku mnapiga pisi kali ambazo maintaining costs zao ni kubwa. Watu wanajimwambafai wanamaliza mpaka laki 5 kupata utelezi kwa siku moja tu. Kwanini madogo wasifikirie mna hela.
😹😹 Nitafute wakili au nijitetee mwenyewe?nina kesi na wewe..!
Njoo na wakili mama la mama, ushawahi kusimangwa kikaskazini?😹😹 Nitafute wakili au nijitetee mwenyewe?
😹😹😹 Si nitakufwaa mimi jamani..!!Njoo na wakili mama la mama, ushawahi kusimangwa kikaskazini?
Huyu Secretary Bird ni mwanaume au mwananke?Mimi kwenye PM yangu huwa nakuta messages za watu wakiomba niwape dawa ya kuongeza ukubwa wa uume.
Umeongea vyema na sio kuja kuwasakama hapa na kuwabananga na kuwasimanga 😁Kama wanaomba wapeni kile ulichojaariwa.
Kweli,mbona wapo wanaotoka na hawaji kutangaza,Umeongea vyema na sio kuja kuwasakama hapa na kuwabananga na kuwasimanga 😁
Na huo ndio uungwana, kama huna basi una muambia mtu huna au kama hujisikii haujibu tu hata PM yake kuliko watangaza na kuwabananga wengine wanashida kweli kweli na watu wana matatizo na shida mbali mbali. Sema watu hawana upendo humuKweli,mbona wapo wanaotoka na hawaji kutangaza,