Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa.

Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu hukohuko kwa majirani. Hata migahawani kuna uwezekano ukapata msaada wa chakula kuliko kutuma copy-paste kwa members

Bora hata uombe fursa, kazi au connection kuliko kuomba hela moja kwa moja. wanadhani kila mtu wa JF ni tajiri. Ukweli ni kwamba sisi ni akina nyie tu tupo hapa kutafuta madini, maarifa na habari.

Yaani ndani ya wiki moja nakuta meseji tatu tofauti zote zinaanza na Bro sikujui hunijui ila nina shida, nisaidie hela ya kula.
Wazabe nyundo nilidhani peke yangu tu.
 
Ila madogo wa kiume mnatudalilisha Kaka zenu, Baba zenu, Wajomba zenu. Msiwe mnavamia PM za watu bila hodi

Waacheni Mabinti wawe wanapiga mizinga wao tu. Halafu njaa huwa haiuwi myakubali maumivu ya leo ili kutengeneza kesho yenye historia.
Mkuu jf ni pagumu kujua nani mwanaume nani mwanamke. Ukijumlisha na wanawake wanavyopigwa madongo kuhusu kuombaomba sio rahisi akaja pm na id yake inayojulikana. Lakini mtaani ambapo uhalisia haujifichi tunaona wanaombaomba sana wanawake
 
Aaaah,usiniambie,,,,,sikiliza huo mchongo ukitiki nishtue😂

Halafu uje na Uzi kabisa😂😂jf 🙌
Mimi huwa naanzisha uzi kwa ajili ya kutoa faraja au pongezi kwa mtu. Sio kwa mambo ya PM au labda nje ya Jamiiforums
 
Halafu we dogo GemMaster II usifikiri ukiwa hapo nchi za wazungu hauwezi kujulikana.

Naweza kuziona hata passports zako zote na huko ulipo nikakufuata nikakuphira vizuri sana na ukaenjoy kwa namna iliyotukuka.

Kishikilie sana hicho kinyeo chako, nisije kupandisha mtarimbo nikakuzabua uanze kumlilia mama ako.

Sitaniwi mimi. Ohooo!

Cc: secretarybird
 
Back
Top Bottom