Tutaomba hapa live.kumbe wote mlofunga PM nikwasababu mnaombwa pesa?🤭,,, hebu na mimi nifunge nionekane sitaki usumbufu😎
Huwa nafurahi sana ukijitambulisha kama kaka jukwaani kwa sababu unaepusha wapumbavu wakufuate PM, jambo linalofanya uwe wangu daima 🥰.Bro naomba ten basi nikale mishkaki 😜😛
omba basi ukipewa nyingi unigawie😊Tutaomba hapa live.
😂😂😂,kelele tu nyingi,pesa hakuna.omba basi ukipewa nyingi unigawie😊
ngoja wakuulize umewajaribu wangapi😅😅😂😂😂,kelele tu nyingi,pesa hakuna.
Labda wanadhani utawasimika mhogo wa Jan'gombe.Mimi mbona huwa hawanifuati au wanaogopa kuliwa vinyeo?
Ukiniomba hela anza kabisa kutangulia chumbani nikukute umechanua tayari kwa kunipa makebo!
Vinginevyo tutagombana.
Cc: secretarybird
Sasa we kelele za hapa unazionaje,hakuna kujaribu zisikilizie kwanza😂😂😂😂ngoja wakuulize umewajaribu wangapi😅😅
Walikuomba nawe😂Simple tu funga PM
Mimi ndio maana nimefunga sitaki tafrani PM kwangu
Zamani before kufunga PMWalikuomba nawe😂
Amewaambia muombe michongo muache kuomba omba hela. Na wengine pia wamethibitisha kuwa wanaombwa ombwa hela huko pm.Sioni tatizo mtu kuomba hela kama katingwa , ila naona tatizo la aliye ombwa kuja kuanika hapa kuwa kaombwa hela ni tabia za hovyo tu
Aisee,Zamani before kufunga PM
Wengine wanakuja na story za upuuzi
Ukishalewa unakuja kuwachamba humu, sasa hivi unawatetea waombe ombe🤣🤣🤣Watoto wa kishua hawawezi elewa harakati za mtu mweusi bwashee
NomaAisee,
Hahahaha I'd yangu inatumika na watu wawili tupo mapachaUkishalewa unakuja kuwachamba humu, sasa hivi unawatetea waombe ombe🤣🤣🤣
Aseme kawapa watu wangapi humu michongo, mbona mimi wapo kibao nimewapa michongo na wanaomba michongo, kwanini yeye aombwe hela na sio michongo , kuna shida pahala😂Amewaambia muombe michongo muache kuomba omba hela. Na wengine pia wamethibitisha kuwa wanaombwa ombwa hela huko pm.
Me najua dume aiseee DIVISHENI FOOIla huyo ni mwanamke mkuu.
Huyo ni binti tu, lakini huwa anapenda sana masihara.Me najua dume aiseee DIVISHENI FOO