Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

Duh! Pole sana mkuu, sema utakuwa na kitu Mkuu. Bila hivyo wasingekuja, watu itakuwa wamepeana habari zako ndio maana waja kama kumbi kumbi
Kawaida mkuu ila Alhamdulillah, tatizo la Gen Z uaminifu 0, halafu hamna kitu kinaniuma kama nitoe hela nikupe wewe unaenda kubetia wakati iyo hela ningeweza kunywea bia siku yangu ikaenda fresh kabisa.!!
 
Msiwe mnaomba hela kwa wavulana.
Wavulana hawajui maisha yalivyo na changamoto zake.
 
Kawaida mkuu ila Alhamdulillah, tatizo la Gen Z uaminifu 0, halafu hamna kitu kinaniuma kama nitoe hela nikupe wewe unaenda kubetia wakati iyo hela ningeweza kunywea bia siku yangu ikaenda fresh kabisa.!!
Ndio madogo zetu, twende nao kwa akili, tusiwatenge. Tukiwatengea wanaaingia kwenye majanga makubwa zaidi
 
sijaomba mimi bro ila sio fresh kuanika mtu. Inbox ni sa mim nakunongoneza jambo na wewe ndo kwanza kabisa unaitikia kwa sauti kubwaa.
Aibu utaona wewe unaniona me Gen Z wakati Nina 34+ kuwa serious
 
Aibu utaona wewe unaniona me Gen Z wakati Nina 34+ kuwa serious
unaamka na mawenge ya usingizi chungu nzima kujibu, nakuona gen z kivipi au ni wapi nimekutaja kuwa wewe ni gen z. Mda mwingne uwe unasubiria usingizi unaisha ndio ujibu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…