Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

Mtu kakufata inbox na wewe unakuja kumuanika hapa mkuu instead umalizane nae huko huko. Nini maana ya inbox? Kumwambia huna unashindwa nini ndugu yangu na umwambie huko huko mambo yaishe. Na afu mtu kuomba mwingne pesa kwani ni dhambi bro. Au hauna na yeye anakuvuruga bure.
 
hii tabia ya mtu kuja inbox kuomba hela imenifanya nijifunze namna ya kum block mtu DM. nilikuaga sjui namna ya kublock mtu DM na nimejiunga jamii forum tangu 2019. wala usihangaike nae ww ukishaona sms yake bonyeza ile button ya "leave this conversation and ignore future messages " bas utakua umemalizana nae.
 
Ndio muache hizo tabia sasa.
babu mimi ni mzee na mvi zangu na ni bora umwambie inbox kwamba hauna hata wewe unakula kiburi kama anaweza aje mle viburi wote mcheke maisha yasonge. Hata mim napata hzo sms sana lakin kuna njia nawajibu na inaisha. Mtu hawezi kukuomba jambo kisiri na wewe unamwanika huo ni umama.
 
Au sio!! Ndio kawapa sasa elimu kwa ujumla wenu kuwa muombe michongo na sio pesa kila uchwao.
 
Mzee Sidhani kama nime m mention mtu kwenye topic yangu me nimesema tu kwa ujumla kwa wote wenye hizo tabia
 
Dawa yao ni kuwapiga miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…