Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

Jerry Slaa sheria yako uliyosoma kwa kudesa ni shida sana.
Unasaini vipi kwa niaba ya nchi nyingine?Kwani wao hawajui kusaini?
Au ndo ule utwana na waarabu ni mamwinyi tunawasainia?!
Jerry Slaa na mimi wapi na wapi.
 
Bunge juzi walipi

Bunge juzi walipisha Nini?
 
Wewe nawe una shida, Kama Saini hazifanyi kazi, wamesaini kwa lengo gani.
 
Soma vizuri. Amempa mamlaka kusaini kwa niaba ya serikali ya JMT na Dubai. Punguza ubishi. Kasome power of attorney ya Dubai ipo straight forward . Ni Mkurugenzi wa DP ndio kapewa hayo mamlaka.
 
Viongozi wa aina hii ndio watu wa hovyo.

Serikali inatakiwa kutoa mwongozo official line ya maelezo yake; sio kila poyoyo aende na lake.

Amepata hizo 15 minutes of fame alizokuwa anatafuta sasa.
Wewe una shida, mkuu wa mkoa katoa tahadhali unampinga na kumtukana.
 
Soma vizuri. Amempa mamlaka kusaini kwa niaba ya serikali ya JMT na Dubai. Punguza ubishi. Kasome power of attorney ya Dubai ipo straight forward . Ni Mkurugenzi wa DP ndio kapewa hayo mamlaka.
Ni treaty ina pande mbili za nchi ndio maana hizo nchi zimetajwa.

Kinacho maanishwa hapo ana sign makubaliano ya nchi ya Tanzania na Dubai kuingia makubaliano, hiyo ndio tafsiri yake kwa Kiswahili.
 
hapo ni Mungu aliingilia Kati huo mkataba , mh. naniliuuu akaanza kusaini ovyo ovyo mpaka kusiko muhusu . Hilo ni onyo , akikaza shingo , Mungu ataingilia Kati mazima!!
 
Unachekesha Sana. Kwa hivyo mbarawa anasign kwaniaba ya serikali ya Dubai na JMT?. Hapo huwezi kutetea chochote hata DP world watakushangaa.
 
Ni treaty ina pande mbili za nchi ndio maana hizo nchi zimetajwa.

Kinacho maanishwa hapo ana sign makubaliano ya nchi ya Tanzania na Dubai kuingia makubaliano, hiyo ndio tafsiri yake kwa Kiswahili.
Kwa wanasheria ni kosa kubwa tena sanaa
 
Government lines za kutetea ujinga?
 
Hiyo ni full powers kwenye sheria ya kimataifa hasa kwenye law of treaties. Hapo mama amempa mamlaka Prof Mbarawa kusaini kwa niaba yake.
 
Wewe una shida, mkuu wa mkoa katoa tahadhali unampinga na kumtukana.
Ni mwajiriwa wa serikali anatakiwa kuwa in toe with official government line.

Ukiwa serikalini etiquette ni kwamba unapokuwa na duku-duku lako especially if it contradicts the official line na kuzua maswali mengine bora ukae kimya.

Ndio maana serikali ina wasemaje wake rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…