imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sipingi uwekezaji warekebishe hiyo MOU.Vipi, hutaki tena uwekezaji wa Sheikh Makhtoum ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipingi uwekezaji warekebishe hiyo MOU.Vipi, hutaki tena uwekezaji wa Sheikh Makhtoum ?
Hili la mkataba wengi tulishalisema mwanzoni lakini ninyi mkaanza kuimba ngonjera za udini...Sipingi uwekezaji warekebishe hiyo MOU.
Tokea mwanzo nimekuwa nikiunga mkono uwekezaji wa Bandari nikawa nasema kama kuna tatizo kwenye terms za mkataba zirekebishwe "udini" mimi Imhotep, hebu niwekee ushahidi...Hili la mkataba wengi tulishalisema mwanzoni lakini ninyi mkaanza kuimba ngonjera za udini...
Sasa naona akili zimeanza kuwakaa vizuri.....
Duh!...hii kali aisee....Moreover it doesn’t matter hizo sign hazifanyi hiyo IGA kuwa enforceable kisheria; isipokuwa process ya ratification tu.
Muda wowote hiyo treaty serikali ingeweza ikana katika kipindi ambacho bunge lilikuwa alijaridhia bado.
Duh!...hii kali aisee....
In maana hiyo MOU yenu haiwafungi sio ? Yaani hata huko mbeleni haitawabana popote ?![]()
U.S. firm seeks $561 million from Tanzania in power supply dispute
Symbion Power is seeking $561 million from Tanzania's state power supplier TANESCO via international mediation, accusing it of breach of contract, the U.S. firm said on Tuesday.www.reuters.com
Soma hiyo articles sababu za Symbion kufungua kesi ya madai.
Walikuwa na makubaliano ya awali na TANESCO toka 2015 muda wao ukiisha 2017 wataongezewa miaka 15 mingine ya kuwauzia umeme.
Unaweza funguliwa kesi ya madai ata kupitia MoU if it meets the criteria of an ‘offer and acceptance’ na mtu akafanya matumizi ya kiuwekezaji kwa kuelewa ana makubaliano ya awali.
Usikariri maswala ya sheria inatakiwa uyaelewe.
Inabidi “statement of intent iwe clear” (offer) iwe clear na kuwe “unconditional agreement to all the terms of the offer (acceptance).In maana hiyo MOU yenu haiwafungi sio ? Yaani hata huko mbeleni haitawabana popote ?
Inamaana ya wazi kabisa kuwa rais amemkasimisha waziri kusaini kwa upande wa Tanzania na DubaiKwanini?
Mama inaonekana IQ yako ni ndogo sana. Kama akili hiyo uliyo nayo, na hizo tabia za umbea umewarithisha wanao, itakuwa hasara kubwa kwa kizazi chako.Tatizo lenu ni shule tu, hakuna zaidi.
Alimweka pembeni akachagua chawa KAMA yule HAMZA, johariKuna kitu kinanishangaza,Rais alituambia kuwa pro kabudi ndio atakua mkuu wa mashauriano yote ya mikataba,sijaaikia Kama ameongea lolote,ikiwa ndiye kiongozi wa majadiliano ya mikataba ya kimataifa
.
Tanzania TanzaniaImetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
Kwa kweli ufisadi mbaya, au, upungufu wa elimu, au, ujinga, etc. Rais wa Nchi unasaini doc ya kisheria kwa niaba ya Nchi mbili zote. Kwa Makubaliano yepi?Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
Hiki ni kiwango cha ujinga ambacho sijawahi kukishuhudia nadhani katika hii karne nzima hakuna kiongozi duniani kote ambae amewahi fanya kituko kama hiki
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app