Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

Kwa yeye na yule aliyesena Tanzania ni muunganiko wa Tanganyika na Zimbabwe wana kasoro gani halafu mwenziwe yeye waziri kabisa...Huyo ni mtu wa namba na sio ungwini so usingae kawaida Bongo tambarare...
 
Aliyeambiwa happy birthday akajibu the same to you, alisoma chuo gani tena!
 
Barua ya mhitimu Mzumbe University imeibua vicheko visivyo na mwisho kwenye idara ya utumishi hapa ofisini.

...........nawaibia kidogo tu!



"....... I has a bachelar in accounts and finance...."

Kumbe unafanya utumishi.................... ona hata aibu kwani hata ability yenu ya kufanya process nzima ya interview ni very weak. haijawahi tokea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nilienda ofisi fulani nkakuta mtu anaomba kazi. Barua imeandikwa “applying for a job of internship“.
Halafu akamalizia,“yours suxecfully john“.
Huyo ni mhitimu wa st joseph college of engineering,a 4 year bachelor degree in computer science kama skosei
 
hapo mbona kajitahidi,, fanya mchezo na vyuo vya kata, full kujibebaaaaaaa
 
Huyu jamaa ni bonge la kilaza,alikuwa kula jukwaa la siasa akitokwa povu eti anachoma kadi ya chadema,anafoc umaarufu JF,so st*pid.#a¿§¥

hongera ciello, mie kilaza kweli haina ubishi!
 

ahsante kwa ushauri!
 



HAPO ULIPOANDIKA "LAGUAGE"
ULIKUA UNA MAANISHA KUA NI "LANGUAGE" AU?
:smile: :smile:
 
aisee kuna kila sababu kila chuokikuu kiwe na mkakati wa kufundisha course ya basic english kwa wanachuo wote kama SAUT wanavyofanya..
 
"anyways its" gramatically uncorrect ndugu, kweli lugha yako ya tatu. Wale wale

hata wewe umechemka, unatakiwa utumie neno "grammatically incorrect", badala ya "gramatically uncorrect", so u can see that nobody is perfect in anyway my brother!
 

kasoma communication skills
 
Mmh! Naye kazidi. Watu wa Mzumbe ni bora mngehamishia lawama kwake as an individual kuliko kujaribu kumtetea
 
Kumbe unafanya utumishi.................... ona hata aibu kwani hata ability yenu ya kufanya process nzima ya interview ni very weak. haijawahi tokea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

kama sikuelewi , unamaanisha mie ninafanya kazi "utumishi"? mimi sio civil servant!
 
Mzumbe ni chuo cha tarafa.Bado hujaona ya kile chuo cha kata DODOMA ambacho ukiingia getini tu unakutana na mnara wa CCM.Unategemea wahitimu wake watakua na tofauti na ccm??.Hili ni janga tunahitaji kulijadili kwa upana wake

ur pathetic! Akili zako fupi kama....koma kukisema chuo changu vibaya maana hapo ndo nitakapopata digree yangu so close ur mouth boga we!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…