Maduhu: Vijana ACT jiulizeni Serikali ya CCM ina nia ya dhati ya kufanya maridhiano?

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
Wakili William Maduhu akizungumza leo tarehe 12 Agosti 2026 wakati Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inapoadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
 
Maridhiano gani wakati matendo yao na maneno yao ni vitu viwili tofauti.
 
Huu uzi umepoa haswaaaaaa
Wapenda siasa humu wameuchunia.. Mie naandika tu maana ya siasa ndio 0 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…