Sisi Watanganyika tunahangaika kufanya kazi, kufanya biashara na pia kilimo! Nyinyi kutwa mnashinda tu maskani mkipiga soga! Watu wa ajabu kabisa nyinyi.Hatuijui si mtuwachie nchi yetu. Wacha karma iwatese kama mlivyotufanyia na nyinyi yamewageukia , hata bado . Lilianza Jiwe subirini kidogo litakuja jabali ππ
Bila ya Tanganyika na John Okello kuwasaidia ile January 12, 1964, mpaka muda huu mngekuwa bado mko chini ya utawala wa Sultani Jamshid!Mbona unazimwa mara nyingi tu. Kwani tulipokuwa huru tulitegemea kitu kutoka Tanganyika?
Kweli mnahangaika kufanya kazi, kwani wengine ndio wanafanya kazi ya kuvamia mabenki na maduka ya kubadilisha fedhaSisi Watanganyika tunahangaika kufanya kazi, kufanya biashara na pia kilimo! Nyinyi kutwa mnashinda tu maskani mkipiga soga! Watu wa ajabu kabisa nyinyi.
Siku mkijitenga kutoka Tanganyika, mtaishi maisha magumu sana. Maana hata huo urojo mnaokunywa masaa 24, mtausikia kwenye bomba.
Wanaotuchapa viboko ni nyinyi mlioweka kambi zenu Za kijeshi kila mtaa. Kila uchaguzi mnauwa watu kulazimisha kuweka vibaraka wenu. Mfalme hakupinduliwa alipinduliwa Waziri Mkuu Muhammed Shamte wa Ole Pemba na serikali yake pamoja na wa ZanzibariBila ya Tanganyika na John Okello kuwasaidia ile January 12, 1964, mpaka muda huu mngekuwa bado mko chini ya utawala wa Sultani Jamshid!
Mngekuwa mnaendelea kuchapwa viboko kama watoto wadogo na hao waarabu mnao watukuza.
Somalia kuna amani ?Mnaendekeza ukristo na ukafiri mtateseka tu
Angalia Hargeisa mtu yuko barabarani na mapesa anabadilisha hata Hakuna anamuuliza . Hii ndiyo hali tuliyokuwa nayo Zanzibar kabla uvamizi
View attachment 2477502
Kwani Tz kuna amani ??Somalia kuna amani ?
Au majini yako yamekutuma uandike hivyo
Lete wenge kama hukukalia tumbo shauri yakoKwani Tz kuna amani ??