Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Sisi Watanganyika tunahangaika kufanya kazi, kufanya biashara na pia kilimo! Nyinyi kutwa mnashinda tu maskani mkipiga soga! Watu wa ajabu kabisa nyinyi.Hatuijui si mtuwachie nchi yetu. Wacha karma iwatese kama mlivyotufanyia na nyinyi yamewageukia , hata bado . Lilianza Jiwe subirini kidogo litakuja jabali 😝😝
Siku mkijitenga kutoka Tanganyika, mtaishi maisha magumu sana. Maana hata huo urojo mnaokunywa masaa 24, mtausikia kwenye bomba.