Maelewano ya Jamii ni Muhimu kuliko Faida za Ki-Uchumi

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Maelewano na mshikamano ni Priceless - Kwahio chochote kile hata kama kina faida kiasi gani za kifedha hakiwezi kuziba pengo litakaloweza kuachwa na Jamii kutokuelewana....

Mfano kuna Wadau walienda vijijini kuwajengea watu nyumba za Kisasa kwa gharama kubwa na zingekuwa faida sana kwao (mwisho wa siku watu hawakuingia) baada ya kujiuliza ni nini kimetokea kumbe kulikuwa na upotoshaji kwamba nyumba zile ni za freemason.., Hivyo kosa la kutokuwahusisha watu kuanzia mwanzo kulisababisha mradi mzuri na wa faida kwao kuwa hasara kubwa kwa pande zote zilizohusika....

Suala la Bandari lina sura kama hii na sababu kuna sintofahamu je ni vema kuendelea hata kama kweli lina faida za kiuchumi kwa gharama ya kutokuelewana kwa Jamii ?

Kuna wale wanaosema tatizo sio Mkataba ni Uarabu wa Mwarabu..., Hata kama ni kweli Je hao wenye Hofu ya Mwarabu wana Hoja ? (Kama babu zao walitawaliwa na hilo hilo taifa na wengine kuchukuliwa utumwani utawalaumu kwa kusita kwao ? Hawa watu sio wabaguzi sababu waarabu ni ndugu zetu tunaishi nao ila wakisikia kuna Kampuni moja inayokuja na kupewa exclusivity wanaweza kudhani huu ni ukoloni unarudi; Ukizingatia hata kipindi cha Ukoloni zilikuwa ni Kampuni zenye back-up ya serikali zao ndio zilikuwa zinazoongoza ukoloni....; (Chartered Companies) mfano Germany East Africa Company....

Kwahio Busara ingetumika..., ili kuondoa hii sintofahamu na kupata vyote kwanini badala ya kampuni moja kupewa exclusivity zisipewe Kampuni zaidi ya moja na kwa muda mfupi mfupi wakati na sisi tunajifunza kwa kufanya nao...

Badala ya Kuwapa hawa ambao kuna watu wanawaogopa kwa uarabu wao (kwanini wasiwape wao na wengine) ukizingatia hawa DP World wana sifa ya kutoa Rushwa..., kwa nchi yetu hii ya wapenda rushwa si tutakuwa tunaharibu hata kabla ya kuanza ?

Narudia tena Social Harmony ni muhimu zaidi kuliko any Financial au Economical Gains
 
Well Hadi sasa hawajapewa chochote..
Je wakipewa kimoja Kwa mda mfupi kama unavyo shauri...hao wenye hofu hofu zitawaondoka??
 
Kama nakuona unavyotaka Dp wasije ili uendelee kupiga pesa zetu hapo bandarini.

Wafikishie salamu wenzako DP World anakuja na wizi wenu ndo umefika mwisho
 
Hivi huenda ndo wanachopingia eti? 🤣🤣🤭
 
DG wa bandari ni mzanzibar mwenzenu, KM wa wizara na Waziri wote wanatoka Zanzibar
 
Hivi huenda ndo wanachopingia eti? 🤣🤣🤭
Ndugu yangu. Hii nchi acha tunayoijua tupambane nao hawa watu mtandaoni. Hizi kelele zina mizizi sana

Kuna watu walitengeneza monopoly pale Bandarini wanakula Nusu ya mapato yanayoingia mengine ndo haya tunatangaziwq na tunaona ni mengi ila kumbe tumepigwa vibaya sana.

Hawa watu tuachieni sisi. Mchezo huu tunaucheza vizuri na nchi hii lazima inyooke vizuri na hawa wanaoturudisha nyuma kimaendeleo wakome kabisa
 
At least mnatupigania na tusio jua kitu mkuu....Mungu awatetee
 
Sifa kubwa ya mwanamke ni kiburi kilicho pindukia ndio maana wanatandikwa makofi na mume zao.

Kiongozi mwenye kiburi hafai kuongoza taifa kubwa kama Tanzania
 
At least mnatupigania na tusio jua kitu mkuu....Mungu awatetee
Tulia. Watanyooka tu

Pale Bandarini kuna wizi wa kufuru na kuna syndicate mpaka za hawa watu wa dini.

We unadhani kagame alivyosema tukimpa Bandari tu anaendesha nchi alikuwa anatania?

Hizi syndicate haziwezi kukubali jitihada za Serikali kuweka ufanisi Bandarini hata ashuke Yesu maana zinakula vilivyo pale Bandarini.

Serikali imeamua na hakuna kurudi nyuma.
 
That's it 👊 ...keep it up wakuu
 
Well Hadi sasa hawajapewa chochote..
Je wakipewa kimoja Kwa mda mfupi kama unavyo shauri...hao wenye hofu hofu zitawaondoka??
Hata kama watakuwa na Hofu zitakuwa hazina basis, Sababu kama Mchina kapewa Gati kadhaa au DP World kapewa miaka mitano kule Tanga huku kuna Mchina Miaka Mitano n.k. Hofu itatoka wapi ?

By the way unasema hawajapewa chochote kwa Usiri wa Mikataba ya hii nchi na uroho wa viongozi wetu tutajuaje hata wakipewa watapewa nini na kiasi gani ? Ndio maana kila siku nasema bila transparency ya haya mambo hata akipewa Malaika bado viongozi wetu watamwambia ongeza 50% ya kwangu.....
 
Ndugu yangu. Hii nchi acha tunayoijua tupambane nao hawa watu mtandaoni. Hizi kelele zina mizizi sana

Kuna watu walitengeneza monopoly pale Bandarini wanakula Nusu ya mapato yanayoingia mengine ndo haya tunatangaziwq na tunaona ni mengi ila kumbe tumepigwa vibaya sana.

Hawa watu tuachieni sisi. Mchezo huu tunaucheza vizuri na nchi hii lazima inyooke vizuri na hawa wanaoturudisha nyuma kimaendeleo wakome kabisa
Unampambania nani au unapambania matako yako jinga kabisa🤡
 
Sawa ila ndo mtuletee mkataba ambao ata wanasaini hawajulikani kwa majina wala vyeo?
Tulia. Watanyooka tu

Pale Bandarini kuna wizi wa kufuru na kuna syndicate mpaka za hawa watu wa dini.

We unadhani kagame alivyosema tukimpa Bandari tu anaendesha nchi alikuwa anatania?

Hizi syndicate haziwezi kukubali jitihada za Serikali kuweka ufanisi Bandarini hata ashuke Yesu maana zinakula vilivyo pale Bandarini.

Serikali imeamua na hakuna kurudi nyuma.
 
Kama nakuona unavyotaka Dp wasije ili uendelee kupiga pesa zetu hapo bandarini.

Wafikishie salamu wenzako DP World anakuja na wizi wenu ndo umefika mwisho
DP World ndio World Police ?!!!, Hivi unajua DP World sio wavivu wa kutoa mlungula ? Na kwa nchi hii ya 10 % Usishangae kuongezeka kwa mapato kusiwe ongezeko la ufanisi....

Nadhani sihitaji kukupa reference za allegations za corruptions za DP World; Google DP World na Corruption usijisomee mwenyewe....
 
Back
Top Bottom