Da hii himenifanya kujua kuwa all. Africans are the same.mama Adebayo alikata Simu aliposikia Dogo Ana mtoto maana Ake walitaka awe msela tu wazitumbue hela zake,huyu mke pia awampendi.Hapo kama ni Mimi ata maiti Yangu airudi nyumbani wataishiaga niona ktk TV. Hapo ata kazi ya hao wazazi na ndugu itanipitia juu ya bati
One sided story....nothing to comment on. Only him knows the truth.
Ongezea na uvivu, kupenda mafanikio bila kutoa jasho, uzembe nk
Yeah! This touches well my experience. Africa tuna safari ndefu sn. Kwa jinsi tulivyo na akili mbovu Inawezekana hata Dangotte familia yake inamwandama but not revealed to public
Yani daaa! binafsi nipo bado speechless,zaidi sioni kama jamaa ana haki yakuexplain coz still lawama na vingine vyote watampa tu,na kimsingi inaumiza...mbaya kuna mwandishi ndio alivalia njuga swala hili kama anafahm in and out juu ya maisha ya Emma kumbe mweupe tu,lakini upande fulani ndio kasababisha Emma kufunguka na kutupa somo juu ya bin-Adam hasa sisi Africans.
Hapa ndo nawaelewa wazungu, unakufa kivyako na familia yako. Hawa ndugu sio wa kuwaendekeza kabisa. Kila mmoja anatakiwa aishi kivyake.