Maelezo binafsi ya Emmanuel Adebayor kuhusu mgogoro wake na Familia yake

Maelezo binafsi ya Emmanuel Adebayor kuhusu mgogoro wake na Familia yake

Da hii himenifanya kujua kuwa all. Africans are the same.mama Adebayo alikata Simu aliposikia Dogo Ana mtoto maana Ake walitaka awe msela tu wazitumbue hela zake,huyu mke pia awampendi.Hapo kama ni Mimi ata maiti Yangu airudi nyumbani wataishiaga niona ktk TV. Hapo ata kazi ya hao wazazi na ndugu itanipitia juu ya bati

kuna watu wengi tu wa namna hiyo.
mie ninapitia hayo
nampa pole huyo jamaa.
 
Kumbe hii rangi yetu tunafanana tabia mi nilijua haya mambo ni wabongo tu hadi wa Afrika magharibi wanayo tunasafari ndefu sana kwakweli.
 
Yaani amjengee nyumba kila family member plus mshahara kila mwezi!!!? This is shiiit
 
yaan jamaa na kwa muonekano wake tu,anaonekana ni mtu poa sana.

Ila huyu bibi hata kwa kumuangalia tu anaonyesha ni mkorofi.

Hahaaa,eti awajengee nyumba kila mmoja,na kuwalipa mishahara kila mwezi.kuna watu wana visa dunia hii!!!!!
 
Africa ni shider sana...wazazi wetu wa zamani wakishaona mtoto wao kapata kazi..basi wanajua wao mambo yao yamekamilika..unakuta umepata kazi ndani ya miezi mi3 ila una list ndefu ya watu wanataka misaada toka kwako

Hali hii huwa inajenga saaana chuki katika familia nyingi za kiafrica
 
Nampa pole sana Adebayo kwa yanayomusibu maana naamini yanamuletea msongo wa mawazo tena mkubwa sana.
yanayomsibu yeye ndiyo yanayomsibu kila muafrika yeyote mwenye vimafanikio kiasi kuzidi ndugu zake.
Nakumbuka hata Msanii wa Bongo Diamond amekuwa akilaumiwa sana na ndugu zake kuwa hawasaidii.
Watanzania wenye ajira eg walimu, nurse, dereva, nk utakuta full kulaumiwa ndugu muda wote kuwa hawawasaidii wakati yeye mwenyewe kipato chake hakimtoshi.
 
Hapa ndo nawaelewa wazungu, unakufa kivyako na familia yako. Hawa ndugu sio wa kuwaendekeza kabisa. Kila mmoja anatakiwa aishi kivyake.
 
Yeah! This touches well my experience. Africa tuna safari ndefu sn. Kwa jinsi tulivyo na akili mbovu Inawezekana hata Dangotte familia yake inamwandama but not revealed to public

Matatizo ni mengi sana afrika
 
Duh,kama ni kweli yaani waafrika hatunaga shukran zaidi ya majungu na kutoridhika.
 
Na hii n mbaya zaidi Kama uzaliwe aw kwanza kwenu, usome wa kwanza kwenu na uwe na unafuu wa maisha, then the burden is unbearable , kila utajachofanya lawama ziko pale pale .

Yani daaa! binafsi nipo bado speechless,zaidi sioni kama jamaa ana haki yakuexplain coz still lawama na vingine vyote watampa tu,na kimsingi inaumiza...mbaya kuna mwandishi ndio alivalia njuga swala hili kama anafahm in and out juu ya maisha ya Emma kumbe mweupe tu,lakini upande fulani ndio kasababisha Emma kufunguka na kutupa somo juu ya bin-Adam hasa sisi Africans.
 
haya mambo hata huku kwetu yapo sana...na huu ushenzi nilishaukataa zamani sana......upole wa namna hii umepita mipaka.....soln ni kukata mirija na kutulia huko aliko ..ndugu hawana shukran
 
Pole yake ade kiukweli huwezi kuleta shutuma zote hizo eti ziwe za kubumba sidhani waafrika tuna matatizo bimkubwa kaona ade kapata mtoto anaambiwa atoe jina akaona mirija ya kumkamua itakata kwa hasira akakata simu.Wote kuanzia bimkubwa mpaka nduguze ni mtihani
 
Waafrika wengi family zao ni kero, halafu unakuta anayemtenda mwenzake mabaya ndio wa kwanza na kila mara kuongea upuuzi but aliyetendwa haongei sana, mwishoe anaaibika mchana kweupeee
 
stori yake inataka kufanana na ya Kajumulo enzi hizo..
 
Hapa ndo nawaelewa wazungu, unakufa kivyako na familia yako. Hawa ndugu sio wa kuwaendekeza kabisa. Kila mmoja anatakiwa aishi kivyake.

Sisi ngozi nyeusi n shida tupu yani toka yuko france kawasaidia sana ndgu zke istoshe mama yke anaonekana n kisirani pia kuchezea hela.huyo sista wke inaonekana ni muhongaji mzuri plus huyo bro wake mzee w mizinga kila kukicha kala mpka hela y msiba w ndgu yke
 
Hivi katika hyo familia hakuna hata ambae yupo upande wa Adebayo?

Huenda adebayo pia ana mapungufu yake kama binadamu lakini hao ndugu zake hyo imekua "too much" ..we mtu huez enda kazin kwa nduguyo eti ukamchafulie akose kazi duh!

Madai ya kwamba bi mkubwa alienda kwa T.B Joshua akaondoka kabla ya wakati nayo yanatia shaka zaidi ukizingatia ile kauli ya Mama mchawi
 
Kosa la Emma ni kuwapa ndugu zake pesa na mali. Leo hii akipiga hesabu anajikuta ni nyingi lakini practically zimetumika na hazipo. Wapeni nyavu wakavue wenyewe hao...
 
Kiasi fulani inaumiza. Hii inatokea kwa jamii nyingi za Afrika, ndugu wanafurahia pale unapopata kazi maana utatimiza mahitaji yao yote.
 
Back
Top Bottom