Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia nzima ni wachawi, hata Ade ni mchawi unajua chanzo cha ugomvi na kolo Toure pale Man City ni chuki za kichawi?
Haya ni mahesabu ya kawaida tu.!
Waafrika tuna laana
Ilo mbona linawezekana... Mshahara Million 300/=Tsh. tena kwa wiki.
Atashindwa vipi kulipa mil 1 kwa ndugu 20 tu. Yaani tena kwa mwezi.
mshana jr huyu Adebayor katoka familia ya kishirikina sana. Kinachomkera mama yake ni yeye kutompa matunzo stahiki (japo ilitakiwa mama yake atumie busara) na kuajiri wachawi wa kiafrika na kituruki anaowalipa hela nzuri.Pole Adebayo
Miafrika sisi tuna laana
Ilo mbona linawezekana... Mshahara Million 300/=Tsh. tena kwa wiki.
Atashindwa vipi kulipa mil 1 kwa ndugu 20 tu. Yaani tena kwa mwezi.
Ndugu siyo wa kuchekea wasaidie,ila isiwe kila siku.Maana ukiwapa kila siku watabweteka kwanza matumizi yao ni ya juu kuliko hata mtafutaji mwenyewe.Hawana huruma,siku ukiishiwa nd wa kwanza kukusema vibaya,kukuchekaKosa la Emma ni kuwapa ndugu zake pesa na mali. Leo hii akipiga hesabu anajikuta ni nyingi lakini practically zimetumika na hazipo. Wapeni nyavu wakavue wenyewe hao...
With family like this who needs enemies?