Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Anayeita 'zama hizi' kuwa "Zama za ujinga" atakuwa ni mjinga wa kupindukia!Pamoja na yote hayo, kwa sababu tupo kwenye zama za ujinga na upumbavu wa kidijitali, sitegemei taarifa zilizotolewa leo zizime uzushi dhidi ya marehemu.
Then you need to be well equipped to avoid being "misinformed."If you don't follow news, you're uninformed,if you do follow, you're misinformed!
Ni moja ya lahaja za neno hospitali.hiyo spitali ndo nini?
So very presidential, healing. Thx JMKHaya, leo mzizi wa uzushi umekatwa. Sababu ya kifo cha Rais mstaafu Mkapa imetajwa: ni mshituko wa moyo.
Licha ya hivyo, hicho sicho kilichompeleka hospitali.
Kilichompeleka hospitali ilikuwa ni kutojisikia kwake vizuri, ambapo baadaye ilikuja kugundulika kuwa ni malaria, kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa leo.
Rais mstaafu Kikwete alienda kumsalimia hospitali. Hakuondoka hapo spitali akiwa na wasiwasi kuhusu uhai wake [Mkapa].
Mimi toka awali nilihisi kuwa yaweza kuwa ni ama shambulio la moyo, mshtuko wa moyo, au tatizo jingine lakini ambalo lihusishalo moyo. Maana katika vifo vya ghafla, mara nyingi ‘mkosaji’ huwa ni moyo.
Hivi ndivyo Kikwete alivyosema.
Pamoja na yote hayo, kwa sababu tupo kwenye zama za ujinga na upumbavu wa kidijitali, sitegemei taarifa zilizotolewa leo zizime uzushi dhidi ya marehemu.
The Monk
Mapema ndo lini?Kungekuwa na shida gani sababu ya kifo chake ingesemwa mapema? Kwanini uwaone watu wajinga wakati hujawapa taarifa?
Kabla ya leoMapema ndo lini?
Hayo ni matakwa yako. Si mipango yao.Kabla ya leo
Wee naweeHayo ni matakwa yako. Si mipango yao.
'Ugonjwa wa kupumua' unasumbua sana wenye magonjwa ya kisukari na moyo
Covid 19 ilishaisha tanzaniaNi COVID19 hiyo Mkuu walio karibu yake na walioenda kumuona akiwa kalazwa afya zao zifuatiliwe kwa karibu sana.
Ndo kitu naipendea Covid-19, inapenda kupiga mule mule kwa marafiki wa Jiwe...Nkurunzinza, and now big Ben,; na badoHaya, leo mzizi wa uzushi umekatwa. Sababu ya kifo cha Rais mstaafu Mkapa imetajwa: ni mshituko wa moyo.