Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,919
- 2,843
Duh, ww akili yako kweli, hasara kabisa!Haya basi hakuwa na korona aikuwa na fistula furahi basiii
Duh, ww akili yako kweli, hasara kabisa!Haya basi hakuwa na korona aikuwa na fistula furahi basiii
Unataka kusema ni COVID wakati ameagwa na jeneza tena Lupaso hata geneza halijawekwa kioo. Na hao makasisi waliosoma ibada DSM na Lupaso wakimwaga maji ya Baraka na ubani jeneza likiwa wazi. Acheni utani yule kirusi si wa mchezo. Wangekataza kuaga kama Lwakatare ningeelewa. Ila Mimi siyo mtaalam ngoja wazoefu na miwili ya Marehemu wa COVID watatuambia. Yaani mpaka jeshi libebe jeneza bila hata gloves kweli. Sielewi zaidi.Ni COVID19 hiyo Mkuu walio karibu yake na walioenda kumuona akiwa kalazwa afya zao zifuatiliwe kwa karibu sana.
Ndiyo niliuliza ilikuwaje awe hospital bila Doctor wake na nurse? Sikumpata majibu hadi leo. Maana aliposimama akakaa akainama angekuwepo msaidizi wake kiafya mara moja angemuwahi.Duh......... Moyo huuu, eti ukishtuka wenyewe mtu unakufa.
Ila mapigo ya moyo yakikata, moyo unashtuliwa, unapata uhai
Una muelewesha bavicha! Mkuu unapoteza muda, wakati sisi binadamu wa kawaida kichwani tuna ubongo hawa nadhani wana nyaya, switch na vifaa vingine vya umeme dalili ya kwamba hawa jamaa ni maroboti.. Hawawezi kuwaza au kufanya tofauti na walivokuwa programed kufanyaUnataka kusema ni COVID wakati ameagwa na jeneza tena Lupaso hata geneza halijawekwa kioo. Na hao makasisi waliosoma ibada DSM na Lupaso wakimwaga maji ya Baraka na ubani jeneza likiwa wazi. Acheni utani yule kirusi si wa mchezo. Wangekataza kuaga kama Lwakatare ningeelewa. Ila Mimi siyo mtaalam ngoja wazoefu na miwili ya Marehemu wa COVID watatuambia. Yaani mpaka jeshi libebe jeneza bila hata gloves kweli. Sielewi zaidi.
Yaani Raisi Mstaafu apate Malaria ambayo kwa sasa imedhibitiwa sanaHaya, leo mzizi wa uzushi umekatwa. Sababu ya kifo cha Rais mstaafu Mkapa imetajwa: ni mshituko wa moyo.
Licha ya hivyo, hicho sicho kilichompeleka hospitali.
Kilichompeleka hospitali ilikuwa ni kutojisikia kwake vizuri, ambapo baadaye ilikuja kugundulika kuwa ni malaria, kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa leo.
Rais mstaafu Kikwete alienda kumsalimia hospitali. Hakuondoka hapo spitali akiwa na wasiwasi kuhusu uhai wake [Mkapa].
Mimi toka awali nilihisi kuwa yaweza kuwa ni ama shambulio la moyo, mshtuko wa moyo, au tatizo jingine lakini ambalo lihusishalo moyo. Maana katika vifo vya ghafla, mara nyingi ‘mkosaji’ huwa ni moyo.
Hivi ndivyo Kikwete alivyosema.
Pamoja na yote hayo, kwa sababu tupo kwenye zama za ujinga na upumbavu wa kidijitali, sitegemei taarifa zilizotolewa leo zizime uzushi dhidi ya marehemu.
The Monk
Ulitaka apelekwe hospital gani? Makumbusho ndiyo Hospital yao wanayotibiwa hata aumwe mafua. Na ukiona hivyo ujue alikuwa anaumwa kawaida na si kuzididiwa. Jua hao ni viongozi wakuu wa nchi hivyo huduma zao ni maalum piaYaani Raisi Mstaafu apate Malaria ambayo kwa sasa imedhibitiwa sana
Any you buy that, Kwa hiyo Malaria akapelekwa Hospital ya Pale Makumbusho kwa walinzi
Hahahaha