Hoja yangu bado iko palepale, Kuna uzembe umetokea, Hali ilivyobadilika hatua stahiki hazikuchukuliwa, muda aliofariki Ni muda mfupi baada ya kupata dawa, nurse hakufuatilia purse rate, hakufuatilia pressure, hakufualia sukari, Kama akipewa duocotexin lakima sukari ilishuka na pressure kupanda. Alivyoinama aliyekuwa nae alipaswa kumzuia na kumsihi apande kitandani na kulala ubavu Ni kitendo Cha sekunde kingeokoa uhai wake,
Wale manesi kutoka ureno hawakuruhusu makosa hayo kutoka kwa Boris Johnson, walikuwa nae 24hrs, Sasa sie ndugu ndio anaachwa na mgonjwa, ovyo kabisa