Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
We mpumbavu kweli, Nani kakuambia Nkapa alikuwa na corona! Mfyuuu!7Ndo kitu naipendea Covid-19, inapenda kupiga mule mule kwa marafiki wa Jiwe...Nkurunzinza, and now big Ben,; na bado
kwani wanasema marehemu kafa na nini
Halafu then inawasaidia nini
ukikaa chini ukitafakari utagundua watanzania wengi tuna matatizo ya kiakili
wewe Ukifa utataka ujue umekufa kisa nini kama kafa na gono is it fair kutangazaUnadhani walioweka protocol za jinsi ya kutangaza vifo vya viongozi wa uma walikuwa na matatizo ya akili?
wewe Ukifa utataka ujue umekufa kisa nini kama kafa na gono is it fair kutangaza
Tulifanya maombi ya siku 3, korona ikakimbia nchini.Yeah! Mkuu tell me about it.
usiku mwemaNilitegemea ujibu swali la protocol, siyo uhamishe magoli.
Duh......... Moyo huuu, eti ukishtuka wenyewe mtu unakufa.
Ila mapigo ya moyo yakikata, moyo unashtuliwa, unapata uhai
Ndio shangaa moyo unasimama mtu Yuko wodini O2 ipo CO2 ipo jecky zote za kuinulia moyo zipo, hatukubaliDuh......... Moyo huuu, eti ukishtuka wenyewe mtu unakufa.
Ila mapigo ya moyo yakikata, moyo unashtuliwa, unapata uhai
Pumbavu mwenyeweWe mpumbavu kweli, Nani kakuambia Nkapa alikuwa na corona! Mfyuuu!7
Eti nawe unataka uonekane umekomenti..kweli ujinga kwa watz hauwaishi.,sasa unashabikia ili?'Ugonjwa wa kupumua' unasumbua sana wenye magonjwa ya kisukari na moyo
'Ugonjwa wa kupumua' unasumbua sana wenye magonjwa ya kisukari na moyo
Huna adamu!Pumbavu mwenyewe
Kule iringa wanaita sibitaliNi moja ya lahaja za neno hospitali.