Maelezo haya ya leo yanaendana na maelezo ya Rais mstaafu Kikwete

Ni COVID19 hiyo Mkuu walio karibu yake na walioenda kumuona akiwa kalazwa afya zao zifuatiliwe kwa karibu sana.
Unataka kusema ni COVID wakati ameagwa na jeneza tena Lupaso hata geneza halijawekwa kioo. Na hao makasisi waliosoma ibada DSM na Lupaso wakimwaga maji ya Baraka na ubani jeneza likiwa wazi. Acheni utani yule kirusi si wa mchezo. Wangekataza kuaga kama Lwakatare ningeelewa. Ila Mimi siyo mtaalam ngoja wazoefu na miwili ya Marehemu wa COVID watatuambia. Yaani mpaka jeshi libebe jeneza bila hata gloves kweli. Sielewi zaidi.
 
Duh......... Moyo huuu, eti ukishtuka wenyewe mtu unakufa.
Ila mapigo ya moyo yakikata, moyo unashtuliwa, unapata uhai
Ndiyo niliuliza ilikuwaje awe hospital bila Doctor wake na nurse? Sikumpata majibu hadi leo. Maana aliposimama akakaa akainama angekuwepo msaidizi wake kiafya mara moja angemuwahi.
 
Una muelewesha bavicha! Mkuu unapoteza muda, wakati sisi binadamu wa kawaida kichwani tuna ubongo hawa nadhani wana nyaya, switch na vifaa vingine vya umeme dalili ya kwamba hawa jamaa ni maroboti.. Hawawezi kuwaza au kufanya tofauti na walivokuwa programed kufanya
 
Yaani Raisi Mstaafu apate Malaria ambayo kwa sasa imedhibitiwa sana
Any you buy that, Kwa hiyo Malaria akapelekwa Hospital ya Pale Makumbusho kwa walinzi
Hahahaha
 
Yaani Raisi Mstaafu apate Malaria ambayo kwa sasa imedhibitiwa sana
Any you buy that, Kwa hiyo Malaria akapelekwa Hospital ya Pale Makumbusho kwa walinzi
Hahahaha
Ulitaka apelekwe hospital gani? Makumbusho ndiyo Hospital yao wanayotibiwa hata aumwe mafua. Na ukiona hivyo ujue alikuwa anaumwa kawaida na si kuzididiwa. Jua hao ni viongozi wakuu wa nchi hivyo huduma zao ni maalum pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…