Maelezo jinsi Mke wa Bilionea Msuya alivyomuua wifi yake yasomwa mahakamani

Maelezo jinsi Mke wa Bilionea Msuya alivyomuua wifi yake yasomwa mahakamani

Muogope sana mtu,ndugu,mtoto,mke/mume anaye kaa na kuwazia mambo ya mali za kurithi kila wakati.Kaa naye mbali sana huyo mtu,ni hatari kuliko ukoma(Sijui ni nini,huwa anakuwa na uchu na mali kuliko hata aliyezitafuta)......
 
Huo mpango wa mauaji ulivyosukwa unaona wazi kabsaa hao watu hawana uzoefu na mambo hayo ni kama wale waliomuua mume wake pia walikurupuka hii kesi tayari hukumu yake ipo wazi ni kunyongwa tu pia familia imegawanyika watoto wapo upande wa wajomba mambo ni shaghalabala tu.
 
Uchawi ni imani. Mtu ambaye haamini uchawi huwezi kumdhuru kwa uchawi . Jiulize usa anavyowabonda waarabu why wanashindwa mroga usa kwa uchawi?

Bongo mauaji mengi ya kizembe sana. Evidence na traces zinaachwa nyingi sana kwenye crime scene.

Killers wa bongo wengi ni vilaza sana . Polisi wetu hawapati shida wala changamoto kumpata muuaji wakiamua tu. Maana kwenye crime scene wanakuta traces kibao.

Mfano hao wauaji kuweka urafiki na housegal mpaka wa kumnunulia simu kabisa na kumwambia aondoke siku ya tukio ni ujinga

Wataalamu wanasemaga hakunaga perfect murder crime. Ila kuna watu wanazifanya huko huko majuu na hawakamatwi milele
Dunia inaendeshwa na nguvu mbili tu yaani Mungu na Shetani,unaposema mtu asiye amini uchawi sijui unaamisha yaani ni mtu wa Mungu sana au?

Ninachojua mm kama upo katikatika yaani hueleweki upo kwa shetani au Mungu lazima uchawi ukunase haijalishi unauamini au huamini.

Ikiwa utakuwa kwa Mungu hakikisha kweli unaishi na Mungu kwa amri zake hakika shetani na uchawi wake hawatosogea na Kama upo kwa shetani hakikisha upo vzr sna na shetani kiasi mchawi mwingine akikukugasa akwame

There is no power to a man who is at intermediate between God and Evil's power.
 
Elimu inahitajika sana kwenye maisha ya kila Siku...huwezi kuua kijinga hivo halafu usikamatwe.

Wachawi ndo wauaji bora Sana kuwahi kutokea kwani hawaaji alama yoyote na wala hakuna kesi wala ushahidi..kwa utajiri aliokuwa nao huyu mama ilibidi aende kwa wachawi magwiji nchini kongo.
Umeachiwa 60% na Mali kibao, zingine umebadilisha Jina zimekuwa Mali yako, bado unaenda kutoa mtu roho, karma is real angalia sasa unaozea jela...
 
Binadamu huwa tunajisahau sana likija swala la mali. Mtu aliechuma hizo mali amekufa na kuziacha, wewe ulieachiwa tu roho inakutoka mpaka kudhulumu uhai wa mwengine kusahau kuwa hata ukimiliki majumba elfu kumi, mwisho wa siku unaishia kwenye kisehemu kidogo sana cha ardhi.
Nikikumbuka mashuhuda wa mwili wamarehemu huwa nalia hadi leo mtoto alilala nafikiri walimpa dawa ya usingizi asubuhi akaamsha mama anamwambia anasikia njaa ampe chakula aende shule kwani gari inapita na yeye bado hajala mama haamki ikabidi aende kwa jirani. Inaumaaa uuuwiiiiii hapana jamani.
 
So ulitaka aue kitaalam zaidi sio?

Shabaaash

Terrible being you are
Kama aliyeua aliona kuua ndo suluhisho mimi ni nani hadi nihukumiwe kwa ujinga wake?Mm nimetoa mawazo yangu nikiwa a free man.

And remember this is a social media,we don't know each other and what ever we speak here remains here,if your an idiot to take everything written in here you will suffer the consequences..
 
Una uhakika gani? Hujawah kuona watu wameuwawa na waliofanya mauaji hawajakamatwa?.....muuji professional haachi footprint hata siku moja!
Kuna muuwaji very professional kumshinda Carlos the jackal? Mbona mwishowe alidakwa kama kondoo hapo Sudan?? Yuko wapi Sasa hivi??
 
Kuna muuwaji very professional kumshinda Carlos the jackal? Mbona mwishowe alidakwa kama kondoo hapo Sudan?? Yuko wapi Sasa hivi??
Sawa, huku unazungumzia duniani....hapa kwetu nadhani unaelewa vizur kabisa hatupo vizur ktk uchunguzi
 
Nikikumbuka mashuhuda wa mwili wamarehemu huwa nalia hadi leo mtoto alilala nafikiri walimpa dawa ya usingizi asubuhi akaamsha mama anamwambia anasikia njaa ampe chakula aende shule kwani gari inapita na yeye bado hajala mama haamki ikabidi aende kwa jirani. Inaumaaa uuuwiiiiii hapana jamani.
Mashuhuda waliona nini?
 
Umeachiwa 60% na Mali kibao, zingine umebadilisha Jina zimekuwa Mali yako, bado unaenda kutoa mtu roho, karma is real angalia sasa unaozea jela...
Mkuu siyo mm aseee,mm nipo ushirombo huku nakula dona yangu kubwa na dagaa aina ya chimabuyu na jioni hii nina miadi na shemeji yako...asante!
 
Kifo cha huyu dada kiliniuma sana. Nilivyoona picha yake nikamkumbuka. Kabla ya kuhamia Kibada alikuwa anakaa somewhere Kinondoni, kuna siku nilikutana nae anamshusha mtoto wake kindergaten tukaongea mambo fulani ya business tukabadilishana namba. Baada ya hapo tulipoteana mpaka nilipoona taarifa za kuuawa kwake humu JF.
 
Back
Top Bottom