nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,814
- 4,781
20M ni ndogo sana ndio maana alipata wauaji wa kiwango kibovu kabisa.....walipopafahamu kwa anet, day 1, hg angechinjwa, then aneth akirudi wanamaliza shuguli in the same day,,,,,weka kwenye friza na usafi mzuri....wanaondoka na gari ya aneth.....wanaipigia kibiriti magari saba.....duh hizi mali hizi......
ila sijafagilia mauaji hata kidogo....mali mali mali...aiseee
ila sijafagilia mauaji hata kidogo....mali mali mali...aiseee