Maelezo marefu kumbe agenda kuu ilikuwa ni kuomba kuchangiwa pesa za matumizi binafsi ya kifamilia na za kuendesha chama chake

Walifkiri kuendesha chama ni kampeni chafu,wale waliokuwa wanawaunga mkono wako wapi!!?Sherehe ya ushindi sio maisha ya ushindi
 
Weka hapa hiyo katina inayosema "Tume Huru ya Uchaguzi".
Miaka yote CCM haina hela ya kukiendesha chama chao, CCM imekiwa ikitumia kodi zetu kukiendesha chama na hiyo haina kificho. Sijui unatumia akili gani kukisifu chama kinachotuibia pesa zetu, kila mwaka ukaguzi ukifanyika huonekana pesa nyingi zimechotwa na hawaruhusu bunge kuzijadili.
Chama huendeshwa na michango ya chama na si pesa binafsi za mwenyekiti na ndivyo ilivyo kwenye misikiti na makanisa, ukiruhusu mtegemee pesa za kiongozi basi ni lazima mfuate masharti yake na si katiba ya chama.
 

Huyo mama yao ameuza bandari zote kwa mabilionea wa kiarabu na sasa ni nchi yao maana wanamiliki ardhi kubwa na nchi ya Loliondo na viwanja vyote vya ndege na mapori yote .

Anauza ardhi ya madini kwa rafu kwa wageni akishirikiana na Doto. Anauza Makaa ya mawe Kenya kwa fujo tena akitumia usafiri wa familia kama vile anahamia sayari ya mzazi akistaafu .
Yoote hayo apate pesa za kuhonga ili awe juu ya wanaume mil. 31 kinyume kabisa na maelekezo ya Allaha na mtume wake .
Huu ni utawala wenye ladha ya kishetwani na laana katika ardhi na taifa katika imani.
 
unaibiwa wewe ambae pia unadai kuibiwa kura ambazo huna,
hivi mnakua mazuzu ee kila uchaguzi kuibiwa msichokua nacho?

au kila uchaguzi hua mnaenda kukodoa mimacho na kusinzia tu wakati wa kupiga na kuhesabu kura?

Sasa kama chama kinaendeshwa na michango ya chama, si mkiendeshe sasa, mbona mwawasumbua mnaowaita maskini wawachangie pocket money hali ya kua kwenye chaguzi wanawatosa?

Yaani,
makelele na mdomo mwingi kumbe agenda ni kuombaomba kuchangiwa tu.

hachaguliki milele gentleman πŸ’
 

Hata ugaidi kwenye nchi nyingi na uasi ni matokeo ya kupenda misaada mpaka ya tende na halua .
Hawa machawa walioibuka juzi juzi hawajui kuwa Tulijenga ofisi za Chama za mikoa na wilaya na vijiji kwa kuchangisha mpaka sh. 5 tukiwa tunasoma shule za msingi na sekondari tena kwa lazima .
Lakini bado mafisadi hua wanaiba pesa za umma kufadhili chama na kuhonga wapinzani feki ili wasifie uchaguzi na wakiri kushindwa.
Wapumbavu sana
 
🀣 🀣 🀣
 
Sasa ulitaka chama kiendeshwe na pesa za mafisadi na wauza ngada kama hapo awali?
 
we kijana,
kuwa na heshima kidogo,

si sawa hata kidogo,
kumfananisha kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na hayati Baba wa Taifa Letu JK.Nyerere,

hiyo ni kufuru gentleman, usirudie tena
Mkuu huna moral compass ya kumuita kiongozi yeyote kuwa ni kibaraka ukiwa wewe mwenyewe ni kibaraka mwandamizi!!! Ama kweli Nyani haoni ku.....le!!!
 
Je?Tozo za hao unaowatetea zinaangalia kama huyu ni maskini au sio maskini?
 
Mkuu kuomba mchango/msaada sio dhambi na hakuna sheria inayo vunjwa.

Chama chochote huendeshwa kwa michango na misaada ya wanachama.

Mkuu wewe ukiwa kibaraka unaamini kila mtu ni kibaraka mwenzio!!
 
Mkuu kuomba mchango/msaada sio dhambi na hakuna sheria inayo vunjwa.

Chama chochote huendeshwa kwa michango na misaada ya wanachama.

Mkuu wewe ukiwa kibaraka unaamini kila mtu ni kibaraka mwenzio!!
Ila sawa gentleman,

nimeamini kuomba kuchangiwa hela inabidi uanzie mbali dah πŸ’
 
Ipi heri
Anayezichapa kodi za walala hoi au
Aneyeomba kuchangiwa na mlala hoi
ombaomba pocket money ni aibu na fedheha sana kwa familia, ndugu jamaa na marafiki, kwa mtu timamu na mwenye nguvu ya kufanya kazi,dah πŸ’
 
Kauli ya pinyon he sana hii
 
Weka video mkuu tuone akiomba kuchangiwa msaada wa familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…