ForeverMore
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 812
- 1,939
Nadhani like any other business, location ina matter. Dereva wa taxi akipaki club siku za ijumaa na jumamosi usiku atapiga hela.
Dereva wa uber akipaki maeneo ambayo watu wengi wanatumia usafiri huo kama Masaki na Oysterbey asubuhi na Posta jioni atapiga hela, maana abiria akihitaji usafiri wa uber, magari yaliyokaribu naye ndo yataona alert.
So it's possible. Ila kumbuka hata kama gari ni lako, Uber wanapata chao, inamaana kama gari si lako, utapeleka % uber na hesabu kwa mwenye gari. Sidhani kama itakulipa kiasi hicho.
Tatizo la watanzania nadhani tukisema ukweli tunaumwa. Wengi hawasemi ukweli kuhusu kipato. We hao madereva waulize leo wameingiza kiasi gani, jana, juzi? Chukua average, utajua kama inalipa au la.