Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Hao madereva wa uba ni kichefuchefu,kwani anakuliza kiasiga kimejionyesha kwenye simu,akiona kidogo anakutolea maneno mabovu kisha aji
 
Hao madereva wa uba ni kichefuchefu,kwani anakuliza kiasiga kimejionyesha kwenye simu,akiona kidogo anakutolea maneno mabovu kisha aji
Mkuu madereva wa aina hiyo unatakiwa uwaReport. Kwenye app kuna sehemu ya kureport
 
Download Uber app from playstore, and enter promo code ubertz5 which will enable you to travel for free on your first trip(up to a distance costing tsh6200)
 
Hii promo haihusian na wateja ambao tushajiunga uber na hatukupata promo?
 
Ni kweli usafiri wa UBER ni rahisi ukilinganisha na Taxis nyingine. Mfano kutoka Ubungo kwenda Airport kwa UBER ni 15,000; Taxis nyingine ni 25,000 mpaka 40,000 kutegemeana na unavyojua kuomba punguzo. Toka Ubungo mpaka Bottle majengo pacha ni 12,000 Taxis nyingine hapo ni 30,000 hivi
Mbonankama dereva hana faida kabisa. Maana elf12 bado asilimia 25 yenu, bado mafuta let say lita 4 sababu ya jam pengine abakiwe na thsh 2000
 
Mbonankama dereva hana faida kabisa. Maana elf12 bado asilimia 25 yenu, bado mafuta let say lita 4 sababu ya jam pengine abakiwe na thsh 2000
Kwani Ubungo mpaka Airport ni Km ngapi? Mtu wa UBER akifika Airport harudi tupu lazima atarudi na kichwa kukipeleka sehemu nyingine.
 
Pakua app ya Uber ingiza promocode ya TZABA065 na utasafiri bure hadi umbali unaogharimu tsh 6200
 
Brother wameshafungua usajili tena wa madereva?? Like nikipeleka now gari yangu sitokalishwa sana kwny foleni?
 
Uber ndo usafiri ulio salama na uhakika zaidi, hata nyakati za usiku. Pakua app ya Uber ingiza promocode ya TZABA065 na utasafiri bure hadi umbali unaogharimu tsh 6200
 
Enzi za kukadiria bei ya usafiri bila utaratibu zimepitwa na wakati. Pata thamani sawasawa na unachokilipia. Download app ya Uber leo ujionee usafiri ulivyorahisishwa siku hizi. Na kwa kuwa itakuwa mara yako ya kwanza kutumia huduma za Uber, basi ingiza promocode ya TZABA065 na utasafiri bure safari yako ya kwanza.
 
Back
Top Bottom