Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inakuaje kama nipo na mgonjwa au familly je nitalipa ya watu wawili au kulingana na idadi au ni ileile mkuu ambayo natakiwa nilipie per trip?Huduma ikishasambaa vya kutosha DSM, basi na mikoani itafika mkuu
Mkuu ukiita Uber ni sawasawa na kukodi Taxi, hivyo ukiwa peke yako au hata mkiwa wanne, atalipia mtu mmoja tu yule aliyeita Uber, na bei ni ileile haiongezeki. Kwa sasa kuna huduma ya UberX pekee ambayo ina nafasi ya abiria wanne bila kumhesabu dereva.Hii inakuaje kama nipo na mgonjwa au familly je nitalipa ya watu wawili au kulingana na idadi au ni ileile mkuu ambayo natakiwa nilipie per trip?
Ko Jibu ni kwamba hata nikiwa na jamaa zangu tupo wanne trip ya buku 6200 tutapanda kwa free it means kwa kutumia promo code kwa mala ya mfano ni mfano huuMkuu ukiita Uber ni sawasawa na kukodi Taxi, hivyo ukiwa peke yako au hata mkiwa wanne, atalipia mtu mmoja tu yule aliyeita Uber, na bei ni ileile haiongezeki. Kwa sasa kuna huduma ya UberX pekee ambayo ina nafasi ya abiria wanne bila kumhesabu dereva.
Ndio mkuu ni sahihi kabisaKo Jibu ni kwamba hata nikiwa na jamaa zangu tupo wanne trip ya buku 6200 tutapanda kwa free it means kwa kutumia promo code kwa mala ya mfano ni mfano huu
hahahaHabari kama hii wa mikoani wanaugulia ndani kwa ndani.







Download app ya Uber leo ujionee usafiri ulivyorahisishwa siku hizi. Na kwa kuwa itakuwa mara yako ya kwanza kutumia huduma za Uber, basi ingiza promocode ya TZABA065 na utasafiri bure safari yako ya kwanza.
Mkuu siwezi kusema tarehe haswa ila hivi karibuni itafika mikoani, mpango huo upomikoani mtaanza lini?
Mkuu nakutumia PM, nikupe maelekezo zaidiMkuu &dricks mimi nili download na ku-install kwa kadri ya maelekezo, Baada ya kujaribu kutumia nililetewa ujumbe kuwa "Your account is currently disabled. \visit t.uber.com/account-disabled for more information"
Nikienda huko naambiwa niingize trip mbili za hivi karibuni wakati mimi sijawahi kuwatumia hata siku moja. Nikitoa maelezo yaelekea hawaelewi. Je nifanyeje, kwani inaweza kunisaidia kwa sasa.