Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Uber wako poa saana,.sasa nna uhakika wa kujirusha popote na muda wowote bila wasiwasi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakupa chenchiJe kama safari ya kwanza inagharimu elfu 5 hivi halafu nina hiyo promotion ina maana sitalipia chochote?
Ni sahihi kabisa kuwa charged 57000.Nauli ya Uber hukokotolewa kwa kutumia Umbali uliotembea(km) na Dakika ulizotumia katika safari yako.Kwahiyo automatically dereva akibonyeza start trip program inaanza kuhesabu muda; pale mliposimama kwa dk45,app iliongezea charges kwenye nauli ya awali
ukijibiwa unitag.Kwenye foleni si itakuwa majanga kama inahesabu muda?
Kati ya 31,000-35,000.Ila kukiwa na foleni yaweza kuongezeka kidogoNiambie kutoka ubungo hadi mapinga shule ni bei gan?
Hahaha, ni kweli hatalipa chochote.Ila chenji hapewi, maana ile ni discount tu.Tunakupa chenchi
Mkuu si uingie tu kwenye application utaona bei. Nimecheki hapa Ubungo stand to Mapinga-Bagamoyo ni 26,000/=.Niambie kutoka ubungo hadi mapinga shule ni bei gan?
Uko sahihi kabsa mkuu, adownload app ataona estimate ya nauli yoyoteMkuu si uingie tu kwenye application utaona bei. Nimecheki hapa Ubungo stand to Mapinga-Bagamoyo ni 26,000/=.
Kwa tax ya kawaida sidhani kama ingekuwa chini ya 50,000/=
Kwenye foleni si itakuwa majanga kama inahesabu muda?
Kwenye foleni tunacharge tsh110 kwa dakika.Ina maana foleni ya nusu saa itakugharimu nyongeza ya 3300 tu.ukijibiwa unitag.
Kwenye foleni si itakuwa majanga kama inahesabu muda?
Mfano mimi nilitoka kariakoo mpaka kimara mwisho jioni,kwa lisaa limoja na dk15(ukijumlisha foleni njiani hapo).Nauli yangu ilikuwa 15600 tuukijibiwa unitag.
Kwenye Windows phone application yenu haifanyi izuri. Kwenye request Uber X hailete dereva.Karibu ujiunge na app ya Uber
Kumbeee...Mimi ni mtumiaji sana wa Uber,lakini mna mambo mengi sana mjirekebishe:
1:Katika application,ekeni ijitokeze namba ya dereva wa gari,inajitokeza contact,msiweke contact mpaka ubonyeze,ndio upate namba, wakati mwingine,dereva wa uber ,anachelewa kukupigia mpaka mda unapita wa dakika tano, ndio umpate anakumbia siwezi kuja huko, nimeshapata hasara mara mbili kwa tatizo hili,Simu ilinata yangu,kila nikibonyeza contact haikubali,wekeni namba ya simu nje nje,isiwe lazima mimi kubonyeza contact ndio nipate namba ya dereva.
2:Wapeni mafunzo madereva kuujuwa mji wa Dar ,vizuri,wengi unawaelekeza hawajui au hawafahamu kutumia map ya google.
3:Fanyeni aliyesafiri nje ya Dar,anataka kuwatafutia wanawe,mkewe,ndugu na jamaa,uber kwa aliyeko Dar,iwe rahisi kuwatafutia akiwa Moshi,Arusha ,Tanga nk.
.Madereva wawe na lugha nzuri kwa wateja,kampuni mpya imeshaanza,na nimeanza kutumia Taxify,wanaheshima na lugha nzuri kwa wateja,na kukubembeleza,na kufika ulipo bila gagaziko.Na bei zao ni nzuri sana.
Mkuu maoni yako nimeyapokea na nitayafikisha sehemu husika.Mimi ni mtumiaji sana wa Uber,lakini mna mambo mengi sana mjirekebishe:
1:Katika application,ekeni ijitokeze namba ya dereva wa gari,inajitokeza contact,msiweke contact mpaka ubonyeze,ndio upate namba, wakati mwingine,dereva wa uber ,anachelewa kukupigia mpaka mda unapita wa dakika tano, ndio umpate anakumbia siwezi kuja huko, nimeshapata hasara mara mbili kwa tatizo hili,Simu ilinata yangu,kila nikibonyeza contact haikubali,wekeni namba ya simu nje nje,isiwe lazima mimi kubonyeza contact ndio nipate namba ya dereva.
2:Wapeni mafunzo madereva kuujuwa mji wa Dar ,vizuri,wengi unawaelekeza hawajui au hawafahamu kutumia map ya google.
3:Fanyeni aliyesafiri nje ya Dar,anataka kuwatafutia wanawe,mkewe,ndugu na jamaa,uber kwa aliyeko Dar,iwe rahisi kuwatafutia akiwa Moshi,Arusha ,Tanga nk.
.Madereva wawe na lugha nzuri kwa wateja,kampuni mpya imeshaanza,na nimeanza kutumia Taxify,wanaheshima na lugha nzuri kwa wateja,na kukubembeleza,na kufika ulipo bila gagaziko.Na bei zao ni nzuri sana.
Mimi ni mtumiaji sana wa Uber,lakini mna mambo mengi sana mjirekebishe:

Mkuu dereva taksi wako anapatikana masaa 24?. Mfano dereva taxi wako anapark Mbezi, we uko Posta na unataka kupelekwa kinondoni; utampigia simu dereva taxi akufate huko, si itakuwa gharama zaidi?