Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Kwenye foleni si itakuwa majanga kama inahesabu muda?
Ni sahihi kabisa kuwa charged 57000.Nauli ya Uber hukokotolewa kwa kutumia Umbali uliotembea(km) na Dakika ulizotumia katika safari yako.Kwahiyo automatically dereva akibonyeza start trip program inaanza kuhesabu muda; pale mliposimama kwa dk45,app iliongezea charges kwenye nauli ya awali
 
Niambie kutoka ubungo hadi mapinga shule ni bei gan?
Mkuu si uingie tu kwenye application utaona bei. Nimecheki hapa Ubungo stand to Mapinga-Bagamoyo ni 26,000/=.

Kwa tax ya kawaida sidhani kama ingekuwa chini ya 50,000/=
 
Uko sahihi kabsa mkuu, adownload app ataona estimate ya nauli yoyote
 
Msisahau kuweka promocode ya ubertz5 ili kupata punguzo la Tsh 6200
 
Kwenye foleni si itakuwa majanga kama inahesabu muda?

ukijibiwa unitag.
Kwenye foleni tunacharge tsh110 kwa dakika.Ina maana foleni ya nusu saa itakugharimu nyongeza ya 3300 tu.

App inahesabu muda wote uliotumia katika safari,hadi unafika.

Ndo maana mdau hapo juu nikamwambia,siku nyingine akitaka kwenda sehemu na kukaa kwa muda mrefu,ni bora akastop trip kwanza,kisha akarequest uber tena akitaka kuendelea na trip yake.

Magari washirika wa Uber yako mengi sana,hasahasa sehemu kama mlimani city,hivyo hutakiwi kung'ang'ania kubaki na dereva huyuhuyo aliyekuleta
 
Mh kumbe mjini nauli bei juu hivyo.... Bora sisi huku....
Nimeelewa kwann F.A aliimba usije mjini
 
Mimi ni mtumiaji sana wa Uber,lakini mna mambo mengi sana mjirekebishe:
1:Katika application,ekeni ijitokeze namba ya dereva wa gari,inajitokeza contact,msiweke contact mpaka ubonyeze,ndio upate namba, wakati mwingine,dereva wa uber ,anachelewa kukupigia mpaka mda unapita wa dakika tano, ndio umpate anakumbia siwezi kuja huko, nimeshapata hasara mara mbili kwa tatizo hili,Simu ilinata yangu,kila nikibonyeza contact haikubali,wekeni namba ya simu nje nje,isiwe lazima mimi kubonyeza contact ndio nipate namba ya dereva.
2:Wapeni mafunzo madereva kuujuwa mji wa Dar ,vizuri,wengi unawaelekeza hawajui au hawafahamu kutumia map ya google.
3:Fanyeni aliyesafiri nje ya Dar,anataka kuwatafutia wanawe,mkewe,ndugu na jamaa,uber kwa aliyeko Dar,iwe rahisi kuwatafutia akiwa Moshi,Arusha ,Tanga nk.
.Madereva wawe na lugha nzuri kwa wateja,kampuni mpya imeshaanza,na nimeanza kutumia Taxify,wanaheshima na lugha nzuri kwa wateja,na kukubembeleza,na kufika ulipo bila gagaziko.Na bei zao ni nzuri sana.
 
Kumbeee...
 
Mkuu maoni yako nimeyapokea na nitayafikisha sehemu husika.
Naomba lakini nijibu namba 2 na namba 3.

2.Kuhusu madereva kutojua kutumia google maps.Madereva wanapatiwa traning na seminar mbalimbali ambazo bado zinaendelea, ili waweze kutoa huduma stahiki.Nadhani baada ya muda hili litakuwa limekwisha kabisa

3.Kuhusu kumwagizia mtu usafiri ukiwa nje ya mkoa, hii ipo (hakikisha umeupdate app yako).Wakati wa kuagiza usafiri, app itakuulza nani atakayetumia usafiri.Kama sio wewe basi utapewa nafasi ya kuandika namba ya huyo mtu, na atatumiwa message yenye details za safaru husika
 
Mimi ni mtumiaji sana wa Uber,lakini mna mambo mengi sana mjirekebishe:
1:Katika application,ekeni ijitokeze namba ya dereva wa gari,inajitokeza contact,msiweke contact mpaka ubonyeze,ndio upate namba, wakati mwingine,dereva wa uber ,anachelewa kukupigia mpaka mda unapita wa dakika tano, ndio umpate anakumbia siwezi kuja huko, nimeshapata hasara mara mbili kwa tatizo hili,Simu ilinata yangu,kila nikibonyeza contact haikubali,wekeni namba ya simu nje nje,isiwe lazima mimi kubonyeza contact ndio nipate namba ya dereva.
2:Wapeni mafunzo madereva kuujuwa mji wa Dar ,vizuri,wengi unawaelekeza hawajui au hawafahamu kutumia map ya google.
3:Fanyeni aliyesafiri nje ya Dar,anataka kuwatafutia wanawe,mkewe,ndugu na jamaa,uber kwa aliyeko Dar,iwe rahisi kuwatafutia akiwa Moshi,Arusha ,Tanga nk.
.Madereva wawe na lugha nzuri kwa wateja,kampuni mpya imeshaanza,na nimeanza kutumia Taxify,wanaheshima na lugha nzuri kwa wateja,na kukubembeleza,na kufika ulipo bila gagaziko.Na bei zao ni nzuri sana.

Juzi nimemuitia ndugu yangu Uber nikiwa Moro..hiyo option ipo mkuu
 
Mkuu dereva taksi wako anapatikana masaa 24?. Mfano dereva taxi wako anapark Mbezi, we uko Posta na unataka kupelekwa kinondoni; utampigia simu dereva taxi akufate huko, si itakuwa gharama zaidi?

Atamsubiri tu hata Kama yupo airport na dereva yupo tegeta maana ana dereva wake
 
Back
Top Bottom