Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Sasa hv madereva wa Uber wanazima data kwa sababu wanapata hela ndogo.
 
Huduma ikishasambaa vya kutosha DSM, basi na mikoani itafika mkuu
Hii inakuaje kama nipo na mgonjwa au familly je nitalipa ya watu wawili au kulingana na idadi au ni ileile mkuu ambayo natakiwa nilipie per trip?
 
Hii inakuaje kama nipo na mgonjwa au familly je nitalipa ya watu wawili au kulingana na idadi au ni ileile mkuu ambayo natakiwa nilipie per trip?
Mkuu ukiita Uber ni sawasawa na kukodi Taxi, hivyo ukiwa peke yako au hata mkiwa wanne, atalipia mtu mmoja tu yule aliyeita Uber, na bei ni ileile haiongezeki. Kwa sasa kuna huduma ya UberX pekee ambayo ina nafasi ya abiria wanne bila kumhesabu dereva.
 
Uber safi sana, ila muwaelekeze madereva vizuri jinsi ya kutumia app maana kuna mwingine nilipanda siku moja ananiuliza mimi kila kitu utafikiri mimi ni mfanyakazi wa uber.
 
Mkuu ukiita Uber ni sawasawa na kukodi Taxi, hivyo ukiwa peke yako au hata mkiwa wanne, atalipia mtu mmoja tu yule aliyeita Uber, na bei ni ileile haiongezeki. Kwa sasa kuna huduma ya UberX pekee ambayo ina nafasi ya abiria wanne bila kumhesabu dereva.
Ko Jibu ni kwamba hata nikiwa na jamaa zangu tupo wanne trip ya buku 6200 tutapanda kwa free it means kwa kutumia promo code kwa mala ya mfano ni mfano huu
 
Nyie uber safi sana. Kuna siku saa 6 za usiku nimetoka the great bar pale tabata mpaka tageta kibo complex kwa mbele kidogo kwa buku 20 tu.....bajaji alitaka 30 tax sikuziona kabisaa. Uber nyie mna akili sana.
 
Karibu utumie huduma ya Uber leo, ujionee utofauti katika teknolojia
 
Uber gives you an interesting opportunity to try its services. This promotion gives you either a first free ride(absolutely free) or a Tsh 6200 discount; depends on the total fare of your trip.
Here is how to get it;
1.Go to playstore and install Uber app
photo_2018-01-24_09-39-58.jpg
2.Register with your phone number
photo_2018-01-24_09-40-04.jpg
3.Go to Menu and select 'Payment'
photo_2018-01-24_09-40-08.jpg
4.Select add promo/gift code
photo_2018-01-24_09-40-17.jpg
5.Write TZABA065 and press 'ADD'
photo_2018-01-24_09-40-28.jpg
6.Book a ride
photo_2018-01-24_09-40-32.jpg
7.Wait for the driver to arrive
photo_2018-01-24_09-40-36.jpg
6.Enjoy your first free trip or Tsh6200 discount
photo_2018-01-24_09-40-39.jpg
 
Download app ya Uber leo ujionee usafiri ulivyorahisishwa siku hizi. Na kwa kuwa itakuwa mara yako ya kwanza kutumia huduma za Uber, basi ingiza promocode ya ubertz5 na utasafiri bure safari yako ya kwanza.
 
Enzi za kukadiria bei ya usafiri bila utaratibu zimepitwa na wakati. Pata thamani sawasawa na unachokilipia. Download app ya Uber leo ujionee usafiri ulivyorahisishwa siku hizi. Na kwa kuwa itakuwa mara yako ya kwanza kutumia huduma za Uber, basi ingiza promocode ya TZABA065 na utasafiri bure safari yako ya kwanza.
 
Download app ya Uber leo ujionee usafiri ulivyorahisishwa siku hizi. Na kwa kuwa itakuwa mara yako ya kwanza kutumia huduma za Uber, basi ingiza promocode ya TZABA065 na utasafiri bure safari yako ya kwanza.

Mkuu &dricks mimi nili download na ku-install kwa kadri ya maelekezo, Baada ya kujaribu kutumia nililetewa ujumbe kuwa "Your account is currently disabled. \visit t.uber.com/account-disabled for more information"

Nikienda huko naambiwa niingize trip mbili za hivi karibuni wakati mimi sijawahi kuwatumia hata siku moja. Nikitoa maelezo yaelekea hawaelewi. Je nifanyeje, kwani inaweza kunisaidia kwa sasa.
 
Mkuu nakutumia PM, nikupe maelekezo zaidi
 
Sasa ni rahisi kabisa kupata usafiri. Pakua app ya Uber , ingiza promocode ya TZABA065 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chni ya 6200 basi utasafiri bureee
 
Pakua app ya Uber ingiza promocode ya TZABA065 na utasafiri bure hadi umbali unaogharimu tsh 6200
 
Back
Top Bottom