Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshapakua App ngoja niingie mitaa ya kati kwa kutumia promoPakua app ya Uber ingiza promocode ya TZABA065 na utasafiri bure hadi umbali unaogharimu tsh 6200
Siku 21 baada ya kuiingiza kwenye app MkuuMwisho wa promo ni lini mkuu?
Pamoja sana mkuuNimeshapakua App ngoja niingie mitaa ya kati kwa kutumia promo
Mkuu madereva wa aina hiyo unatakiwa uwaReport. Kwenye app kuna sehemu ya kureportHao madereva wa uba ni kichefuchefu,kwani anakuliza kiasiga kimejionyesha kwenye simu,akiona kidogo anakutolea maneno mabovu kisha aji
Mbonankama dereva hana faida kabisa. Maana elf12 bado asilimia 25 yenu, bado mafuta let say lita 4 sababu ya jam pengine abakiwe na thsh 2000Ni kweli usafiri wa UBER ni rahisi ukilinganisha na Taxis nyingine. Mfano kutoka Ubungo kwenda Airport kwa UBER ni 15,000; Taxis nyingine ni 25,000 mpaka 40,000 kutegemeana na unavyojua kuomba punguzo. Toka Ubungo mpaka Bottle majengo pacha ni 12,000 Taxis nyingine hapo ni 30,000 hivi
Kwani Ubungo mpaka Airport ni Km ngapi? Mtu wa UBER akifika Airport harudi tupu lazima atarudi na kichwa kukipeleka sehemu nyingine.Mbonankama dereva hana faida kabisa. Maana elf12 bado asilimia 25 yenu, bado mafuta let say lita 4 sababu ya jam pengine abakiwe na thsh 2000
hii kitu bado mnaitumia?? mnapokea gari ambazo not commercialized?Yoyote mkuu..hata private inaruhusiwa
Ni kwa new users tu mkuuHii promo haihusian na wateja ambao tushajiunga uber na hatukupata promo?
Ndio, unaweza ukapelekaBrother wameshafungua usajili tena wa madereva?? Like nikipeleka now gari yangu sitokalishwa sana kwny foleni?
Asante mkuu leo nimetumia hii ofa kuanzia kimara mpaka mwenge nimelipa buku tuu... huduma nzuriPakua app ya Uber ingiza promocode ya TZABA065 na țutasafiri bure hadi umbali unaogharimu tsh 6200
Karibu mkuu, endelea kufurahi huduma za UberAsante mkuu leo nimetumia hii ofa kuanzia kimara mpaka mwenge nimelipa buku tuu... huduma nzuri