Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Nadhani like any other business, location ina matter. Dereva wa taxi akipaki club siku za ijumaa na jumamosi usiku atapiga hela.

Dereva wa uber akipaki maeneo ambayo watu wengi wanatumia usafiri huo kama Masaki na Oysterbey asubuhi na Posta jioni atapiga hela, maana abiria akihitaji usafiri wa uber, magari yaliyokaribu naye ndo yataona alert.

So it's possible. Ila kumbuka hata kama gari ni lako, Uber wanapata chao, inamaana kama gari si lako, utapeleka % uber na hesabu kwa mwenye gari. Sidhani kama itakulipa kiasi hicho.

Tatizo la watanzania nadhani tukisema ukweli tunaumwa. Wengi hawasemi ukweli kuhusu kipato. We hao madereva waulize leo wameingiza kiasi gani, jana, juzi? Chukua average, utajua kama inalipa au la.
 
Kama una gari lako halafu ukalitia Uber basi baada ya miaka 2 huwezi kuliuza tena maana litakuwa limetembea kilomita nyingi sana huku wewe mfukoni huna kitu labda liwe lako au upandishe hesabu kwa dereva.
We mtu akili zako ni zako tu.
Kwani kuna limit ya kilometers za kuendesha gari kwamba hizi ndiyo mwisho sasa uza?

Acha mawazo ya kimaskini, tumia/endesha gari kilometers unazoweza, lihudumie kulingana na hitaji lake mpaka utakapolichoka au lenyewe kufa.
 
Uber is killing the ordinary taxi business, probably in a few years it gonna kill even bodaboda and bajaj business.....it's huge business for those knows how to grab New opportunities.

How do we get the app with instructions and use it,
 
Duh nchi gani hiyo Uber ni kushare cost with the owner!?.Ulichosema ni sehemu ya catalog za uber ila hata huko mbele kuna Uber Taxi!..
Cc Dreka
 
Uber is killing the ordinary taxi business, probably in a few years it gonna kill even bodaboda and bajaj business.....it's huge business for those knows how to grab New opportunities.
Uko sahihi mkuu! They're prices are reasonably cheap! Juzi nimechukua Uber toka Ubungo - Airport, nauli ikawa elfu 12 tu. Ila Jaribu hawa ordinary taxi watakugonga si chini ya 25. Tena kama umetoka pori hata 30 unalipa.
 
Habari wanajukwaa ningependa kufahamu kwa undani kuhusu biashara ya uber kwa mtu mwenye free time...Nimepata sikia eti dereva wa uber anaweza kulaza hadi 100,000/= kwa siku..hivi ni kweli??
Then ikiwa mm ndo dereva ila sio mmiliki wa gari inatanilipa kweli..maana wengi wanasema uber inalipa ukiwa na gari lako....NAOMBA UFAFANUZI ZAIDI KWA WENYE UZOEFU NA SHUGHULI HII...
Kuhusu hiyo kilo inawezekana,depends masaa mangapi unapiga mzigo.Kwa ambao magari siyo yao huwa inategemea mmekubaliana vp na mmiliki wa gari.Lakini hela ya kumpa mwenye gari ni kati ya 150'000 mpaka 220'000 kwa wiki kwa mmiliki wa gari
 
How do we get the app with instructions and use it,
App ya Uber iko play store kama kawaida! Kwenye kujisajili kama wewe ni dereva ndo tofauti. Wana ofisi zao kwa Dar, so kama Wewe unajisajili kama dereva unahitajika kuwaona.
 
Uber inakua kwa kasi sana, kuna uwezekano wakaingiza hiyo pesa. Kumbuka watu wengi wa kati ya mji sasa wanatumia Uber.

Madereva wa tax wanawachukia sana Uber, hasa pale airport hawataki kuona Uber wanasema wanazibiwa rizik.
 
Usafiri wa boda hauwezi kufa leo au kesho. Uber haiwezi kwenda huko machakani tunakoishi, huko ni kwa ajili ya bodaboda tu.

Labda maeneo ya katikati ya jiji na pembezoni kidogo.
Bajaji wana app yao pia inaitwa Bajaji Chapchap
 
Uko sahihi mkuu! They're prices are reasonably cheap! Juzi nimechukua Uber toka Ubungo - Airport, nauli ikawa elfu 12 tu. Ila Jaribu hawa ordinary taxi watakugonga si chini ya 25. Tena kama umetoka pori hata 30 unalipa.
Taxi ni 30-40 pande hiyo.
 
Unaweza pata laki yes! kabla ya kutoa mafuta na 25% yao ubber.
 
We mtu akili zako ni zako tu.
Kwani kuna limit ya kilometers za kuendesha gari kwamba hizi ndiyo mwisho sasa uza?

Acha mawazo ya kimaskini, tumia/endesha gari kilometers unazoweza, lihudumie kulingana na hitaji lake mpaka utakapolichoka au lenyewe kufa.
Kwa hiyo unataka wote tuwe na mtazamo mmoja si ndio.
Toa maoni yako kwa uelewa wako kama wengine tulivyofanya sio kuja kupinga wazo la mtu hapa kuuma kibuyu wewe.
 
Mwezi wa Jan nliuza vi passo,vitz,raum Jumla ya gari 10 wote ukiwauliza wanatka kufanya uber

Ova
 
Back
Top Bottom