safi mkuu,nilimaanisha Ofisi mnaita type error...mashokolo mageniHeshima yako mkuu.
Ofwisi ndio nini?
Kwanza nikupe pole sana mkuu, Uber inahesabu nauli kwa kuzingatia umbali wa safari, pamoja na muda utakaotumia kwenye safari, muda unaweza kuathiriwa na foleni,hivyo kupelekea nauli kuongezeka kidogo mwisho wa safari. App ya Uber imetengenezwa kwa ustadi mkubwa kiasi kwamba nauli utakayoonyeshwa mwanzo wa safari itatofutiana kwa kiwango kidogo sana au isitofautiane kabisa na nauli utakayoonyeshwa mwisho wa safari.Uber wapuuzi Sana. Kuna siku niliita Uber inipeleke sehemu na Bei yake ilikuwa 15k na nikakonfirm ikaja! Tukaanza Safari, kufika jamaa dereva ananiambia wait niangalie tena. Kuja kuangalia ananiambia ni 20k kwa vile kulikuwa na foleni Sana.
Nilibishana Sana na jamaa ila mwisho wa siku nikaona mabishano sio ishu nikampa tu! Usafiri wa kipuuzi sitaki Mimi
Hivi ni kweli watu mko nyuma hivi au ni masiharaNdio nini
App ya Uber iko play store kama kawaida! Kwenye kujisajili kama wewe ni dereva ndo tofauti. Wana ofisi zao kwa Dar, so kama Wewe unajisajili kama dereva unahitajika kuwaona.
Wacha zife tu mkuu hao jamaa ni waajabu sana na hawataki kubadilika wanatoza bei za ajabu sana kwa abiria kwa mfano taxi ya kawaida kutoka mikocheni kwenda town center watakuambia 25,000/= ukilia sana 20,000/= na huyo anae kubali 20k anakuambia iwe siri yenu jamaa zake wasijue coz hajapakia abiria yoyote tangu asubuhi,nawanakua wameambiana chini ya bei hiyo taxi yoyote isikubali! hapohapo ukiita uber kwa umbali huo huo ni 10,500/= sasa watu wanamna hii unawasaidiaje kwa mfano?Uber is killing the ordinary taxi business, probably in a few years it gonna kill even bodaboda and bajaj business.....it's huge business for those knows how to grab New opportunities.
Fika ofisini Posta Viva Tower, utapata maelekezo zaidiUtaratibu wa kujisajili kama dereva ukoje
Usafiri upo mkuu masaa 24, kwa muda huo makadirio ya gharama yake ni kati ya 10,000 na 12,000Kutoka feri kwenda airport saa 10 alfajiri usafiri upo na ni kiasi gani?