Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Sio taxi driver, lakini kwa taarifa nazozisikia kwa madereva sio njema sana kuhusu hii biashara kwani ni kwakuwa gari inachakaa mbaya alafu huwezi pata pesa ya kununulia lingine,

Labda ukakope, na ukikopa ujue tu kwamba hiyo pesa huwezi rudisha kwa biashara hii,
 
Naisubiri hyo UBER huku mwanza, na ki carina changu hakina inshu....
 
Valentine hii, usipate shida ya usafiri unapotaka kutoka na mpenzi wako usiku au wakati wa kurejea nyumbani; download app ya Uber kutoka playstore na ingiza promocode ya ubertz5 itakayokupa nafasi ya kusafiri buree umbali unaogharimu hadi tsh6200.
Tumia Uber, usafiri, salama, bei nafuu na wa uhakika!
 
Uber wapuuzi Sana. Kuna siku niliita Uber inipeleke sehemu na Bei yake ilikuwa 15k na nikakonfirm ikaja! Tukaanza Safari, kufika jamaa dereva ananiambia wait niangalie tena. Kuja kuangalia ananiambia ni 20k kwa vile kulikuwa na foleni Sana.

Nilibishana Sana na jamaa ila mwisho wa siku nikaona mabishano sio ishu nikampa tu! Usafiri wa kipuuzi sitaki Mimi
Kwanza nikupe pole sana mkuu, Uber inahesabu nauli kwa kuzingatia umbali wa safari, pamoja na muda utakaotumia kwenye safari, muda unaweza kuathiriwa na foleni,hivyo kupelekea nauli kuongezeka kidogo mwisho wa safari. App ya Uber imetengenezwa kwa ustadi mkubwa kiasi kwamba nauli utakayoonyeshwa mwanzo wa safari itatofutiana kwa kiwango kidogo sana au isitofautiane kabisa na nauli utakayoonyeshwa mwisho wa safari.

Lakini, kama unadhani bado umelipishwa gharama kubwa zaidi ya uliyostahili, tafadhali mkuu nakuomba uReport ndani ya app na tatizo lako litashughulikiwa ndani ya masaa 48, ikiwemo kurudishiwa kiasi ulichozidishiwa endapo itagundulika kwamba kuna makosa yamefanyika.

Nikuombe tu mkuu, usiache kutumia usafiri wa Uber
 
Valentine hii, usipate shida ya usafiri unapotaka kutoka na mpenzi wako usiku au wakati wa kurejea nyumbani; download app ya Uber kutoka playstore na ingiza promocode ya TZABA065 itakayokupa nafasi ya kusafiri buree umbali unaogharimu hadi tsh6200.
Tumia Uber, usafiri, salama, bei nafuu na wa uhakika!
 
Nasikia kama gari yako unaweza faidi ila kama unaendesha ya mtu kazi unayo
 
App ya Uber iko play store kama kawaida! Kwenye kujisajili kama wewe ni dereva ndo tofauti. Wana ofisi zao kwa Dar, so kama Wewe unajisajili kama dereva unahitajika kuwaona.


Thanks
 
Uber is killing the ordinary taxi business, probably in a few years it gonna kill even bodaboda and bajaj business.....it's huge business for those knows how to grab New opportunities.
Wacha zife tu mkuu hao jamaa ni waajabu sana na hawataki kubadilika wanatoza bei za ajabu sana kwa abiria kwa mfano taxi ya kawaida kutoka mikocheni kwenda town center watakuambia 25,000/= ukilia sana 20,000/= na huyo anae kubali 20k anakuambia iwe siri yenu jamaa zake wasijue coz hajapakia abiria yoyote tangu asubuhi,nawanakua wameambiana chini ya bei hiyo taxi yoyote isikubali! hapohapo ukiita uber kwa umbali huo huo ni 10,500/= sasa watu wanamna hii unawasaidiaje kwa mfano?
 
Pakua app ya Uber , ingiza promocode ya TZABA065 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chni ya 6200 basi utasafiri bureee.
 
Pakua app ya Uber , ingiza promocode ya ubertz5 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chni ya 6200 basi utasafiri bureee.
 
Kutoka feri kwenda airport saa 10 alfajiri usafiri upo na ni kiasi gani?
 
2017 imekuaje mkala hasara mkuu wakati tumewapokea vizuri, inaonekana hapo viva towers kuna wapigaji muwashughulikie.
 
Pakua app ya Uber , ingiza promocode ya TZABA065 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chni ya 6200 basi utasafiri bureee.
 
Ukitumia promocode ya ubertz5 kwa safari inayogharimu 10,000 basi utalipa 4,000 tu

Tumia Uber, usafiri salama, bei nafuu na wa uhakika!
 
Back
Top Bottom