Naombeni majibu tafadhaliKwema humu ndugu??
Naombeni ushauri kuhusu hawa jamaa wa Uber ukijiunga nao vipi inalipa kweli nina ka gari kangu nataka nikakasajili huko ila maswali yangu ni yafuatayo-:
1. Makadirio ya safari kwa siku yanaweza fikia kiasi gani?
2. Na vipi kuhusu mapato inalipa kweli?
3. Vigezo vyao wanavyoangalia ni nini na nini kwa upande wa gari??
4. Je kuna maeneo ukitega unapata safari nyingi zaidi au hii imekaaje??
Kwa wajuzi wa hii kitu naombeni mnisaidie jamani maana nimelazimika kufungua akaunti JamiiForum maana mimi nilikuwa msomaji na amini nitapata msaada hapa.
Umeshawahi kuagiza usafiri kwa kutumia ile account yako ya mwanzo?Boss accoount yangu iko deactivated nikijaribu kuifungua naambiwa hivo nimesajiri nyingine nayo baada ya kutumia dk kadhaa nika clear app data na login tena na hii inaniambia niko deactivated shida iko wapi kwenye system yenu hii
Kama mtu una mizigo je?Usafiri upo mkuu masaa 24, kwa muda huo makadirio ya gharama yake ni kati ya 10,000 na 12,000
Gharama ni ile ile, hakuna gharama za ziada hata kama ukiwa na mzigo mkuuKama mtu una mizigo je?
Mkiwa wawil je?Gharama ni ile ile, hakuna gharama za ziada hata kama ukiwa na mzigo mkuu
Ndio ni 24hours mkuuHuduma ni 24hrs? Karibuni arusha!
Ok!!..Ofisi kwa Dar zipo wapi kuna taarifa nazihitaji!.Ni balozi tu wa huduma za uber