Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Mimi nataka kua dereva.. nipe mchongo
Mkuu Uber haiajiri madereva bali inaunganisha dereva(mwenye gari tayari) na abiria. Tafuta tu mtu mwenye gari, mshauri aisajili Uber, hapo ndo utaweza kuwa dereva wa Uber na kupata faida kubwa
 
mkuu nimekutumia msg kwenyr pm..swali langu lilikuwa fupi na na lengine ni je huwa mnawalipaje kwa siku hao wenye magari? nataka kuzingiza gari zangu kwenye uber naomba ufafanuzi mzuri mkuu asante.
 
Nimeshakujibu mkuu, kaangalie
 
umewaza mbali mkuu tena kwa punguzo la 6200 kwenye nauli ya 5000 unatakiwa upewe 1200 taslimu na dereva
Ntatafuta safar inayogharim sh 1200 ili nipewe buk 5 na dereva. Uber raha sana,unasafirishwa bure na pesa ya msos unapewa
 
3000 kwa kilometer ngapi?
Sio rahisi kukwambia ni kilometa ngapi kwa usahihi kabisa, kwasababu gharama za safari hazihesabiwi kwa kilometer tu, bali pia muda utakaotumia katika safari. Kwa kadirio ni Tsh 560 kwa kila kilometa na Tsh 110 kwa dakika.
Njia rahisi ya kujua makadirio, ni kudownload app ya Uber na itaweza kukadiria gharama za safari kutokana na umbali na muda utakaochukua kusafiri
 
Simply total cost=110t + 560d, si ndio? Ambapo d-umbali, t- muda
 
Siwezi tumia Uber kwa bili? Maana usawa huu mkuu
 
Back
Top Bottom