Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Habari nimekua nkiona watu wengi wakiponda sana hili jambo la kumiliki gari kwa ajili ya uber on grounds kwa hesabu imekua ngumu makato ni makubwa etc ....Ningependa kupata maoni ya watu wengine zaidi juu ya hili swala hasa hasa watu ambao walikua wamiliki au madereva in this scenario
 
Kwema humu ndugu??

Naombeni ushauri kuhusu hawa jamaa wa Uber ukijiunga nao vipi inalipa kweli nina ka gari kangu nataka nikakasajili huko ila maswali yangu ni yafuatayo-:

1. Makadirio ya safari kwa siku yanaweza fikia kiasi gani?
2. Na vipi kuhusu mapato inalipa kweli?
3. Vigezo vyao wanavyoangalia ni nini na nini kwa upande wa gari??
4. Je kuna maeneo ukitega unapata safari nyingi zaidi au hii imekaaje??

Kwa wajuzi wa hii kitu naombeni mnisaidie jamani maana nimelazimika kufungua akaunti JamiiForum maana mimi nilikuwa msomaji na amini nitapata msaada hapa.
Naombeni majibu tafadhali
 
Boss accoount yangu iko deactivated nikijaribu kuifungua naambiwa hivo nimesajiri nyingine nayo baada ya kutumia dk kadhaa nika clear app data na login tena na hii inaniambia niko deactivated shida iko wapi kwenye system yenu hii
Umeshawahi kuagiza usafiri kwa kutumia ile account yako ya mwanzo?
 
Ingiza promocode ya ubertz5 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chni ya 6200 basi utasafiri bureee
 
Ingiza promocode ya TZABA065 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chni ya 6200 basi utasafiri bureee
 
Uber inakupa bei nafuu sana ukilinganisha na kukodi Taxi za kawaida, pia unapata punguzo la tsh 6200 ukitumia promocode ya ubertz5. Mfano:
uber makadirio.PNG
 
OFA! OFA! kwa wateja wapya wa UBER. Ingiza promocode ya ubertz5 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chini ya 6200 basi utasafiri bureee
 
Uber inakuletea usafiri wa gharama nafuu zaidi, salama na uhakika. Hakuna haja tena ya kupigwa jua kwenye bodaboda au kuhangaika na madereva taxi wanaotoza bei kubwa.

Download app ya Uber kutoka playstore, kisha ita usafiri na utapata nafasi ya kwenda sehemu yoyote ya jiji la Dar-es-Salaam; huku ukienoy kiyoyozi, huduma rafiki na gharama nafuu itakayokuacha mdomo wazi.

Kama ni mara yako ya kwanza kutumia Uber, basi unapewa nafasi ya kusafiri buree katika safari yako ya kwanza, hadi umbali unaogharimu tsh 6200, kwa kuingiza promo code ya ubertz5

Angalia hapa makadirio ya gharama za uber, ujionee jinsi zilivyo nafuu
uber makadirio.PNG

Linganisha na gharama za kawaida za taxi, kisha fanya maamuzi sahihi ya kuchagua kutumia huduma za Uber.
 
Naomba nieleweshe kitu flani bwana dricks wewe ni mfanyakazi wa Uber Tanzania au dereva wa Uber!?..
 
Back
Top Bottom