Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je umeshawahi?
Kwa shida kama hizi za usafiri,suluhisho lake ni kutumia Uber
- Kwenda kwenye sherehe ya usiku, na ukakosa usafiri wa kurudi?
- Uko sehemu mvua inanyesha na unataka kwenda sehemu nyingine ila huna usafiri binafsi?
- Unataka kwenda out na mpenzi wako lakini unapata stress kwa kutokuwa na usafiri wa uhakika?
- Umechoshwa na jua kali na vumbi linalokupiga pale ukipanda bodaboda
- Au umechoshwa na zile purukushani za kugombania daladala n.k
Na kizuri zaidi utapata punguzo la tsh 6200, pale utumiapo Uber kwa mara ya kwanza.
Uber ni nini?
Uber ni application inayokuwezesha kupata usafiri wa bei ya chini na salama katika sehemu nyingi za mkoa wa Dar-es-Salaam, kwa kupitia simu yako ya mkononi. Usafiri huu ni wa kutumia magari madogo yanayoweza kubeba kuanzia mtu mmoja hadi watu wanne.
Kujisajili na Uber
Nenda playstore, search 'Uber' utaiona ina icon nyeusi, download kisha ifungue.
Fanya usajili kwa kutumia namba yako ya simu, email na pia utachagua neno la siri.
Kupata punguzo la Tsh6200 katika trip yako ya kwanza
- Nenda Menu kwa kubonyeza mistari mitatu iliyoko juu kushoto,Kisha bonyezaPayments,kisha bonyeza Add promo code , andika TZABA065
- Utaona maandishi ya kijani yakionyesha kwamba utapata punguzo la tsh6200 katika trip yako ya kwanza.
- Nitatoa mfano, safari yako ya kwanza ni kutoka posta hadi magomeni,na gharama yake ni shilingi 7200,basi utalipa sh1000 tu kutokana na hilo punguzo,lakini katika safari ya pili utalipa nauli kamili.
Zingatia
Unaweza kujisajili mara moja tu kwa kutumia hiyo promotion code, ukirudia kujisajili kwa namba nyingine kama baadhi ya watu wanavyopotosha mitandaoni, akaunti yako ya uber itafungiwa na hutaweza tena kutumia huduma za uber
Jinsi ya kutumia Uber kuita usafiri.
Malipo ya usafiri
- Fungua app ya Uber, hakikisha umewasha GPS, itakuletea maandishi 'where to'.Hapo utajaza unapotaka kwenda,mfano 'Magomeni Mapipa'.
- Itakuonyesha kiasi cha nauli inayokadiriwa, na utabonyeza 'Request uberX'
- Hapo hapo,itakuonyesha jina na namba ya gari la dereva atakayekufata hapo hapo ulipo, na ndani ya dk5 atakuwa kashafika.
Umuhimu wa kutumia Uber
- Ukifika 'destination' yako dereva atabonyeza 'Stop trip' kwenye application iliyoko kwenye simu yake, na hapo hapo itaonyesha nauli kwenye simu yako na kwenye simu ya dereva
- Unaweza kulipa kwa Cash(Taslimu) au kwa kutuma Kadi ya benki
Wadau waliotumia Uber wanasemaje:
- Ni gharama nafuu zaidi ukilinganisha na taxi za kawaida, kwa sababu bei inahesabiwa na mashine yenyewe kulingana na umbali wa sehemu unayoenda, na sio derevaa kujipangia bei kubwa
- Ni salama zaidi, hasahasa usiku, kwasababu dereva wa uber anakuwa amesajiliwa na endapo itatokea tatizo lolote mfano kusahau kitu kwenye gari, dereva anaweza kupatikana kwa haraka
- Inakusaidia kuokoa muda; mfano upo sehemu ambapo hamna taxi,bajaji wala bodaboda, unaweza kuita usafiri na ukakufata hapohapo kwa kutumia app hii.
Mkuu pole sana kwa changamoto hizo, madereva huwa wanafanyiwa semina, na wanasisitiza sana kuwaheshimu na kuwajali wateja. Ukikutana na dereva mkorofi, tafadhali mreport katika appNilitegemea kadri mnavyokua huduma zenu ziboreke zaidi lakini madereva wenu hasira zao wanatuhamishia sisi abiria
Hilo nimelipokea mkuu, ntalifikisha kunakostahilimuwaambie madereva wawe wanatembea na chenji, ni wajinga sana kuna siku nlitaka nimlambe Kofi mmoja!
Mje na mwanza bhanaMkuu siwezi kusema tarehe haswa ila hivi karibuni itafika mikoani, mpango huo upo
Mkuu pole sana kwa changamoto hizo, madereva huwa wanafanyiwa semina, na wanasisitiza sana kuwaheshimu na kuwajali wateja. Ukikutana na dereva mkorofi, tafadhali mreport katika app
Hivi mshaanza huduma nje ya Dar kama Arusha au Moshi!?OFA! OFA! kwa wateja wapya wa UBER. Ingiza promocode ya TZABA065 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chini ya 6200 basi utasafiri bureee
bado mkuuHivi mshaanza huduma nje ya Dar kama Arusha au Moshi!?
Mkuu hapo sijaelewa, imekuwaje ukalipa twice, kwa sababu ile credit inabidi ihesabiwe kwenye nauli. Mfano nauli ni 9000, na una credit 3000, basi mwisho wa safari itaandka ulipie 6000Mimi nilikua overcharged nikareport na Uber wakanirefund kama credits kwenye system.Juzi nimesafiri nikasahau kama nina balance nikalipa cash ila Uber nao wakadeduce ile credit kwenye system(nikawa nimelipa twice).Nimeripot nikajibiwa kuwa tatizo langu haliwezi kushughulikiwa kwa sababu nimekua na frequent queries [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .Sasa najiuliza mtu kureport mara kwa mara nayo imekua shida kiasi unaweza usisaidiwe?
Nauli ilikua elfu tatu (inavyoonekana kwenye app).Nikalipa cash elfu tatu na kwenye system credit ikachukuliwaMkuu hapo sijaelewa, imekuwaje ukalipa twice, kwa sababu ile credit inabidi ihesabiwe kwenye nauli. Mfano nauli ni 9000, na una credit 3000, basi mwisho wa safari itaandka ulipie 6000