Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Ingiza promocode ya ubertz5 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chni ya 6200 basi utasafiri bureee
 
Ingiza promocode ya TZABA065 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chini ya 6200 basi utasafiri bureee
 
Je umeshawahi?
  • Kwenda kwenye sherehe ya usiku, na ukakosa usafiri wa kurudi?
  • Uko sehemu mvua inanyesha na unataka kwenda sehemu nyingine ila huna usafiri binafsi?
  • Unataka kwenda out na mpenzi wako lakini unapata stress kwa kutokuwa na usafiri wa uhakika?
  • Umechoshwa na jua kali na vumbi linalokupiga pale ukipanda bodaboda
  • Au umechoshwa na zile purukushani za kugombania daladala n.k
Kwa shida kama hizi za usafiri,suluhisho lake ni kutumia Uber
Na kizuri zaidi utapata punguzo la tsh 6200, pale utumiapo Uber kwa mara ya kwanza.

Uber ni nini?
Uber ni application inayokuwezesha kupata usafiri wa bei ya chini na salama katika sehemu nyingi za mkoa wa Dar-es-Salaam, kwa kupitia simu yako ya mkononi. Usafiri huu ni wa kutumia magari madogo yanayoweza kubeba kuanzia mtu mmoja hadi watu wanne.

Kujisajili na Uber
Nenda playstore, search 'Uber' utaiona ina icon nyeusi, download kisha ifungue.
Fanya usajili kwa kutumia namba yako ya simu, email na pia utachagua neno la siri.

Kupata punguzo la Tsh6200 katika trip yako ya kwanza
  • Nenda Menu kwa kubonyeza mistari mitatu iliyoko juu kushoto,Kisha bonyezaPayments,kisha bonyeza Add promo code , andika TZABA065
  • Utaona maandishi ya kijani yakionyesha kwamba utapata punguzo la tsh6200 katika trip yako ya kwanza.
  • Nitatoa mfano, safari yako ya kwanza ni kutoka posta hadi magomeni,na gharama yake ni shilingi 7200,basi utalipa sh1000 tu kutokana na hilo punguzo,lakini katika safari ya pili utalipa nauli kamili.

Zingatia

Unaweza kujisajili mara moja tu kwa kutumia hiyo promotion code, ukirudia kujisajili kwa namba nyingine kama baadhi ya watu wanavyopotosha mitandaoni, akaunti yako ya uber itafungiwa na hutaweza tena kutumia huduma za uber

Jinsi ya kutumia Uber kuita usafiri.
  • Fungua app ya Uber, hakikisha umewasha GPS, itakuletea maandishi 'where to'.Hapo utajaza unapotaka kwenda,mfano 'Magomeni Mapipa'.
  • Itakuonyesha kiasi cha nauli inayokadiriwa, na utabonyeza 'Request uberX'
  • Hapo hapo,itakuonyesha jina na namba ya gari la dereva atakayekufata hapo hapo ulipo, na ndani ya dk5 atakuwa kashafika.
Malipo ya usafiri
  • Ukifika 'destination' yako dereva atabonyeza 'Stop trip' kwenye application iliyoko kwenye simu yake, na hapo hapo itaonyesha nauli kwenye simu yako na kwenye simu ya dereva
  • Unaweza kulipa kwa Cash(Taslimu) au kwa kutuma Kadi ya benki
Umuhimu wa kutumia Uber
  • Ni gharama nafuu zaidi ukilinganisha na taxi za kawaida, kwa sababu bei inahesabiwa na mashine yenyewe kulingana na umbali wa sehemu unayoenda, na sio derevaa kujipangia bei kubwa
  • Ni salama zaidi, hasahasa usiku, kwasababu dereva wa uber anakuwa amesajiliwa na endapo itatokea tatizo lolote mfano kusahau kitu kwenye gari, dereva anaweza kupatikana kwa haraka
  • Inakusaidia kuokoa muda; mfano upo sehemu ambapo hamna taxi,bajaji wala bodaboda, unaweza kuita usafiri na ukakufata hapohapo kwa kutumia app hii.
Wadau waliotumia Uber wanasemaje:

Kuna Taxify pia inafanya kazi kama Uber lakini huku unapata bajaji pia.

https://r.search.yahoo.com/_ylt=A0L...-salaam//RK=2/RS=XVPk_wDr_669puXBhj80tWzYLzc-
 
OFA! OFA! Ingiza promocode ya ubertz5 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chini ya 6200 basi utasafiri bureee
 
Nilitegemea kadri mnavyokua huduma zenu ziboreke zaidi lakini madereva wenu hasira zao wanatuhamishia sisi abiria
 
Nilitegemea kadri mnavyokua huduma zenu ziboreke zaidi lakini madereva wenu hasira zao wanatuhamishia sisi abiria
Mkuu pole sana kwa changamoto hizo, madereva huwa wanafanyiwa semina, na wanasisitiza sana kuwaheshimu na kuwajali wateja. Ukikutana na dereva mkorofi, tafadhali mreport katika app
 
OFA! OFA! kwa wateja wapya wa UBER. Ingiza promocode ya ubertz5 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chini ya 6200 basi utasafiri bureee
 
Mimi nilikua overcharged nikareport na Uber wakanirefund kama credits kwenye system.Juzi nimesafiri nikasahau kama nina balance nikalipa cash ila Uber nao wakadeduce ile credit kwenye system(nikawa nimelipa twice).Nimeripot nikajibiwa kuwa tatizo langu haliwezi kushughulikiwa kwa sababu nimekua na frequent queries [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .Sasa najiuliza mtu kureport mara kwa mara nayo imekua shida kiasi unaweza usisaidiwe?
 
OFA! OFA! kwa wateja wapya wa UBER. Ingiza promocode ya TZABA065 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chini ya 6200 basi utasafiri bureee
Hivi mshaanza huduma nje ya Dar kama Arusha au Moshi!?
 
Hellow wana JF tafadhalini nahitaji msaada kidogo juu ya hili maana naamini hii ni nyumba ya watu makini na naamini ntapata msaada kama nnavyotegemea.

Mimi ni kijana mchakalikaji tu hapa mjini sasa katika kuchanga kwangu nimefikisha milion 7 nataka kufanya biashara ila wazo lililonijia ni kutafuta gari aina ya TOYOTA IST na nifanye biashara ya UBER ila kuna mtu amenionya na kunambia ntapoteza ela na kama nataka biashara basi nikafungue Tigo Pesa.

Je waungwana nifanye lipi kati ya hilo na naomba kufafanuliwa zaidi kuhusu UBER maana akili yangu yote ndo imegota hapo
 
Kabla ya kukushauri kwanza ulifikiria kufanya ishu gan na hyo hela kabla ya kuwaza Uber?na unaangalia nini zaid ktk biashara unayotaka unapowekaeza hela zako ulizodunduliza?
 
Target yangu haswa ilikua ni Uber kwani niliamini nikiwa na gari yangu mwenyewe itanitoa japo bado sijajua changamoto zake mkuu
 
Mimi nilikua overcharged nikareport na Uber wakanirefund kama credits kwenye system.Juzi nimesafiri nikasahau kama nina balance nikalipa cash ila Uber nao wakadeduce ile credit kwenye system(nikawa nimelipa twice).Nimeripot nikajibiwa kuwa tatizo langu haliwezi kushughulikiwa kwa sababu nimekua na frequent queries [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .Sasa najiuliza mtu kureport mara kwa mara nayo imekua shida kiasi unaweza usisaidiwe?
Mkuu hapo sijaelewa, imekuwaje ukalipa twice, kwa sababu ile credit inabidi ihesabiwe kwenye nauli. Mfano nauli ni 9000, na una credit 3000, basi mwisho wa safari itaandka ulipie 6000
 
Mkuu hapo sijaelewa, imekuwaje ukalipa twice, kwa sababu ile credit inabidi ihesabiwe kwenye nauli. Mfano nauli ni 9000, na una credit 3000, basi mwisho wa safari itaandka ulipie 6000
Nauli ilikua elfu tatu (inavyoonekana kwenye app).Nikalipa cash elfu tatu na kwenye system credit ikachukuliwa
 
Back
Top Bottom