Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

tunaomba ufafanuzi mkuu ili na sisi tuingie huko.tuseme kwa wiki unaweza kupatawastn wa kiasi gani?
 
Uwe na gari kuanzia 2000 kuendelea but ni vizuri kuwa na economy car... For more advice nenda viva tower first floor uber Office utapata details
 
Madereva wengine hawaendi na Muda kabisa, halafu kwa nini ukicancel safari wanakudai hela? huwezi kufanya safari nyingine hadi uwalipe
 
Jaribu app hii labda itakumotivate kama mwanateknolojia kuona jinsi apps zinavyorahisisha mambo.

App ya Uber,inakuwezesha kupata usafiri wa Taxi bei rahisi katika sehemu mbalimbali za jiji la DSM. Download app hii kutoka playstore,link hii hapa https://play.google.com/store/apps/details

Ukishadownload bonyeza Menu>Payments>Add promo code
Ingiza hii code TZABA065 utapata punguzo la tsh6200 katika safari yako ya kwanza.

*Heshima kwenu wanateknolojia*
 
Madereva wengine hawaendi na Muda kabisa, halafu kwa nini ukicancel safari wanakudai hela? huwezi kufanya safari nyingine hadi uwalipe
Mkuu, pole sana kwa tatizo hilo, ukiona dereva anachelewa sana kufika na ikakulazimu kucancel trip; nenda kwenye hiyo trip uliyocancel utaona sehemu ya kureport. Ndani ya masaa 48, tatizo lako litashugulikiwa na unaweza kufutiwa hilo denim au kama ushalilipa utarudishiwa hela yako kama Uber credits.
 
OFA! OFA! Ingiza promocode ya TZABA065 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chini ya 6200 basi utasafiri bureee
 
Wadau habari za majukumu mbali mbali.

Ninaomba mwenye taarifa na uzoefu wa biashara ya Uber hapa dar nami nataka niingize gari langu. Naomba kujua unajiungaje, mapato yakoje, changamoto, etc.

Asanteni wadau.
 
download application maelezo yote ya kujiunga utayaona humo, kuhusu mapato ngoja waje wadau
 
Mkuu, pole sana kwa tatizo hilo, ukiona dereva anachelewa sana kufika na ikakulazimu kucancel trip; nenda kwenye hiyo trip uliyocancel utaona sehemu ya kureport. Ndani ya masaa 48, tatizo lako litashugulikiwa na unaweza kufutiwa hilo denim au kama ushalilipa utarudishiwa hela yako kama Uber credits.
kama sijafanya ndani ya saa 48 jee..maana naona hapa wananidai 3000
 
kama sijafanya ndani ya saa 48 jee..maana naona hapa wananidai 3000
Umeshareport? sio lazima iwe ndani ya masaa 48, lakini ukireport mapema ndo kuna possibility kubwa ya kurudishiwa hela yako
 
OFA! OFA! Ingiza promocode ya ubertz5 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chini ya 6200 basi utasafiri bureee
 
Mimi ni dereva wa uber nawashauli tu wadau tumieni huduma hii ni nzuri sana sisi madereva tupo kwa ajili yenu na pia nafulahia kufanya kazi na uber kwa kuwa kila kitu kinaenda kigital zaidi hakuna mambo ya kupatana bei wala kugombana. KARIBU UTUMIE USAFILI WA UBER..
jitaid kutofautisha R&L
 
Usafiri upo mkuu masaa 24, kwa muda huo makadirio ya gharama yake ni kati ya 10,000 na 12,000
Boss accoount yangu iko deactivated nikijaribu kuifungua naambiwa hivo nimesajiri nyingine nayo baada ya kutumia dk kadhaa nika clear app data na login tena na hii inaniambia niko deactivated shida iko wapi kwenye system yenu hii
 
Back
Top Bottom