Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Ile namba nadhani ni mapambo tu, nimepiga mpaka nimechoka hakuna majibu yoyote
Mkuu uliweza kuingiza gari yako uber?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile namba nadhani ni mapambo tu, nimepiga mpaka nimechoka hakuna majibu yoyote
Namaanisha mwaka 2000 kwenda juuUwe na gari kuanzia 2000 kuendelea but ni vizuri kuwa na economy car... For more advice nenda viva tower first floor uber Office utapata details
Ni kweli but management matterGari huchoka kwa sana!
Mkuu, pole sana kwa tatizo hilo, ukiona dereva anachelewa sana kufika na ikakulazimu kucancel trip; nenda kwenye hiyo trip uliyocancel utaona sehemu ya kureport. Ndani ya masaa 48, tatizo lako litashugulikiwa na unaweza kufutiwa hilo denim au kama ushalilipa utarudishiwa hela yako kama Uber credits.Madereva wengine hawaendi na Muda kabisa, halafu kwa nini ukicancel safari wanakudai hela? huwezi kufanya safari nyingine hadi uwalipe
kama sijafanya ndani ya saa 48 jee..maana naona hapa wananidai 3000Mkuu, pole sana kwa tatizo hilo, ukiona dereva anachelewa sana kufika na ikakulazimu kucancel trip; nenda kwenye hiyo trip uliyocancel utaona sehemu ya kureport. Ndani ya masaa 48, tatizo lako litashugulikiwa na unaweza kufutiwa hilo denim au kama ushalilipa utarudishiwa hela yako kama Uber credits.
Umeshareport? sio lazima iwe ndani ya masaa 48, lakini ukireport mapema ndo kuna possibility kubwa ya kurudishiwa hela yakokama sijafanya ndani ya saa 48 jee..maana naona hapa wananidai 3000
jitaid kutofautisha R&LMimi ni dereva wa uber nawashauli tu wadau tumieni huduma hii ni nzuri sana sisi madereva tupo kwa ajili yenu na pia nafulahia kufanya kazi na uber kwa kuwa kila kitu kinaenda kigital zaidi hakuna mambo ya kupatana bei wala kugombana. KARIBU UTUMIE USAFILI WA UBER..
Boss accoount yangu iko deactivated nikijaribu kuifungua naambiwa hivo nimesajiri nyingine nayo baada ya kutumia dk kadhaa nika clear app data na login tena na hii inaniambia niko deactivated shida iko wapi kwenye system yenu hiiUsafiri upo mkuu masaa 24, kwa muda huo makadirio ya gharama yake ni kati ya 10,000 na 12,000