Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Magembe,are you okay?What’s a 25% discount gonna do to me? You guys need to stop playing! For real!
View attachment 740228
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magembe,are you okay?What’s a 25% discount gonna do to me? You guys need to stop playing! For real!
View attachment 740228
Mbona hueleweki wewe
Magembe,are you okay?
Toto ya musukuma!! Respect JF chupi za humu zimekuumbuaJulius Magembe teh teh teh....
Toto ya musukuma!! Respect JF chupi za humu zimekuumbua
Unalo..... limekugandaMlioumbuka ni nyie kwa kuamini naitwa Julius wakati siitwi Julius!
The joke is on you!
Hakuna anayenijua humu na ndo maana nawadharau sana na kuwacheka!
Wapumbavu nyie.
Limekuganda hiloooo..... psychologically inakuchomaaaaWapumbavu.
Hamjui naitwa nani!
Teh teh teh
Limekuganda hiloooo..... psychologically inakuchomaaaa
Teh teh wewe ndiye!! Na sura yako ndo hiyooo.... umenaswa kiulaini sanaaHow wakati siitwi Julius Magembe? Ndo maana mko wapumbavu!
Teh teh wewe ndiye!! Na sura yako ndo hiyooo.... umenaswa kiulaini sanaa
Wewe ndo mpumbavu uliyenaswa kizembe kwa ukora wako.... Yaani umeingizwa line kiulainiiiii ukatoa vyote!! Huna tofauti na Samson na DelilaHahaaaaaa
Siitwi hivyo!
Mmedanganyika. Kamwe hamuwezi kunijua naitwa nani.
Wapumbavu.
Wewe ndo mpumbavu uliyenaswa kizembe kwa ukora wako.... Yaani umeingizwa line kiulainiiiii ukatoa vyote!! Huna tofauti na Samson na Delila
Picha ni yako jina ni lakooo.... najua nafsi inakusuta na unashindwa kabiliana na ukweli.... but the reality ndo hiyoHahahaaaa! Hakika mpumbavu ni mpumbavu tu.
Yaani ni kama tapeli aje akutapeli halafu akwambie kwamba kakutapeli ila wewe unambishia kuwa hajakutapeli. Huo ndo upumbavu wenyewe.
Mimi wala sijakamatika. Ndiyo, nimekutana na wadada kadha wa kadha na nimewala. Fact.
Lakini hakuna hata mmoja wao niliyemwambia jina langu la ukweli. Wote nimewaambia naitwa ‘Julius Magembe’.
Lakini hilo si jina langu. Hilo jina ni mahsusi kwa ajili ya JF tu.
Na ndo maana si wewe na si wao wawezao kutoa ushahidi kuwa kweli hilo ndo jina langu.
Sasa katika akili yenu ya kipumbavu mnadhani eti nimekamatika. Nimekamatikaje wakati hao wachuchu nimewapa jina feki [ na wao kwa vile hawana akili kunizidi hakuna hata mmoja wao aliyeomba hata kuona kitambulisho changu kuthibitisha kama kweli naitwa hivyo] na wao wakalitangaza huko wakidhani ndo wananikomesha!
Nacheka saaaaana. Nimekutapeli halafu nakuja kukwambia kuwa nimekutapeli halafu wewe unabisha kuwa sijakutapeli!!!
Think. Just think.
Mimi ni mtoto wa chuo. Nimezaliwa, nimekulia, na nimesomea Dar.
Ni nani chuo kikuu alikuwa anaitwa Julius Magembe? Nani Shaaban Robert alikuwa anaitwa Julius Magembe?
Kama Julius Magembe ndo jina langu kweli basi wala haitakuwa shida kujua au kupata taarifa zangu.
Mdingi wangu kafundisha UDSM kwa miaka 30! Ni profesa gani hapo UDSM alikuwa anaitwa Magembe?
Hahahahaaaa nyie watu ni wapumbavu sana. Nawaambia kuwa nimewatapeli lakini eti mnabisha.
Wekeni basi ushahidi hapa kuwa kweli hilo ndo jina langu. Hizi ni zama za information technology. Taarifa nyingi sana kuhusu watu zipo mtandaoni. Ziwekeni hapa.
Weka jina la baba yangu [anbaye ni marehemu kwa sasa....], weka mahali ninapoishi na mengineyo.
Kudai kuwa nimekamatika kirahisi ni kujiaminisha uongo. Hakuna anayejua jina langu la ukweli humu. Hakuna. Hakuna. Hakuna. Na huo ndo ukweli 100%.
Picha ni yako jina ni lakooo.... najua nafsi inakusuta na unashindwa kabiliana na ukweli.... but the reality ndo hiyo
Tudadavulie mkuuWewe ndo mpumbavu uliyenaswa kizembe kwa ukora wako.... Yaani umeingizwa line kiulainiiiii ukatoa vyote!! Huna tofauti na Samson na Delila
Bangi mbaya sanaMlioumbuka ni nyie kwa kuamini naitwa Julius wakati siitwi Julius!
The joke is on you!
Hakuna anayenijua humu na ndo maana nawadharau sana na kuwacheka!
Wapumbavu nyie.
Kumekucha na nyani ngabu